Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Hakuna cha dream wala nin wanataka material things hao wanawake wa dream ni wa kwenye movie
 
Umeo
Kwa kuwa umeandika mwanamke siwezi kupinga,
Lakini nikukumbushe kwamba ndoa zinazotokea ikiwa mwanaume ana kila kitu huwa zinakuwa na migogoro sana..mfano ndoa ya adam na eva
Umeongea bonge LA point ila apo kwenye Adam na Eva sijakubaliana na wewe
 
Kwa kuwa umeandika mwanamke siwezi kupinga,
Lakini nikukumbushe kwamba ndoa zinazotokea ikiwa mwanaume ana kila kitu huwa zinakuwa na migogoro sana..mfano ndoa ya adam na eva
Hakuna ndoa isiyo na migogoro, ila je migogoro hiyo itaongezewa na uchumi au mume kukosa akili?
 
Mngekuwa hamkurupuki basi msingekuwa na malalamiko lukuki, hamtumii akili thats all.
Tatizo lenu mkiolewa mnafika kwenye nyumba ya mumeo unataka ucontrol kila kitu, kula uwalishe unachotaka wewe, mmeo umchunguze kama anachelewa kurudi unataka ufahamu alikuwa wapi na nani! Ukiona kampa ndugu yake pesa unanuna, kama kamnunulia mama yake nguo na wewe unanuna ili upewe pesa ya ukafanye manunuzi nk. Hadi mnatia kinyaa unaanza kuwaza hivi huyu ndiye yule kabla sijamuoa alikuwa akifa kwetu anapiga magoti kusalimia anaongea kwa unyenyekevu hadi wazazi wangu wakamwona wakampenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona haya maandishi kama sio mageni kwangu!!
Kama ni wewe kwaheri tu mkuu. Cant argue with you.
 
Dah..... Kuna ambaye anachagua..na anayechaguliwa...ukweli mchungu [emoji56]

Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…