Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

Sio kila mtu atataka kukwambia juu ya kazi yake i.e Upo UNHCR au IOM huwezi anza mwambia tu mdada ambae una malengo nae unless unataka ipendwe IOM au UNHCR
 
Sio kila mtu atataka kukwambia juu ya kazi yake i.e Upo UNHCR au IOM huwezi anza mwambia tu mdada ambae una malengo nae unless unataka ipendwe IOM au UNHCR
Sio lazima umwambie
Ataona tu mwenyewe...
Kuhusu kazi yaani sio lazima iwe ya ofisini .. sehemu yoyote ile,hata nyumbani pia Mwanaume unaeza fanya Kaz km kulima,haijalishi inakuingizia Kisi gani Cha pesa ila tu usikae idle
 
5.NGUVU ZA KIUME.maelezo toweni wenyewe wanawake Mimi nitawazidishia dozi bureee
 
 
Hivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku hiyo hiyo alitaka tuonane na aje napoishi nikapiga chini,,,,,,nachotaka kusema nikuwa wanawake wanaotaka kuolewa in wengi mno ila wenye sifa za kuolewa ni wachache mno[/QUOTE]
 
[/QUOTE]
True story bro, na kwa kuwa wengi ni pasua kichwa basi yafaa kuchagua anaeridhisha kimvuto tu. Piga mimba upate chalii wako wa ukweli damu yako kisha unalea bila stress za kumuoa mama yake.

Wanawake wengi sikuhizi wako kimaslahi sio ki upendo wa dhati. Ikiwa tu kuna kitu anaona atanufaika nacho toka kwako basi anakukubalia fasta umfanye mke hasa wengi wanatafta unafuu wa maisha, akishaolewa tu anajisahau kabisa. Ubaya siku hicho alichofata kikawa hakipo utaomba ardhi ipasuke udumbukie ndani.
 
umesahau mwanaume mashineee... kuna vchwa viko sex addict ye akichapwa vzuri mkwaju hawazi hela yako.. dizain hyo wengi watafutaji teh teh...
Mwanamke wa hivyo ambaye huwa hawazi hela ya kidume kabisa huwa ni mvumilivu sana kwenye mahusiano na hababishwi na tamaa za kishamba kama wale omba omba type.

Yeye focus ni umuoneshe mapenzi umkaze freshi tu anafurahia mahusiano na hii ndio aina ya mwanamke ambaye wengi tunaota kuwapata ila tunaishia kuwapata wale wa tuma na ya kutolea, kuwalipia kodi, saluni na ada za vyuo!🤣🤣🤣
 
Sasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu

From profile picture to proper future
🤣🤣🤣🤣🤣 narudia tena, mkataba wako na mpenzio ni mapenzi tu...Huduma kila mtu akapewe na mzazi wake ama ajitafutie.

Mwanamke asie na akili ya kujitaftia ni mzigo duniani mpaka mbinguni na hafai kuwa mke...acha adange mpaka awe bibi!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[/QUOTE]Pole Sana
 
Sasa wana mnataka kodi alipe mwingine, saluni alipie mwingine, nguo nzuri amnunulie mwingine,unadhani ukigonga tissue atanunua nani za kufuta uchafu wako, je nani atanunua pedi?
wewe unataka jukumu la kugonga tu sasa kama ni hivyo demu wako au mkeo si utagongewa kizembe sana na waongaji?
Mwanamke mtu wa ajabu sana anataka vyote, game anataka ile ile na hela anataka,tuache uoga, haikwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…