kanchibay
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 671
- 690
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima umwambieSio kila mtu atataka kukwambia juu ya kazi yake i.e Upo UNHCR au IOM huwezi anza mwambia tu mdada ambae una malengo nae unless unataka ipendwe IOM au UNHCR
5.NGUVU ZA KIUME.maelezo toweni wenyewe wanawake Mimi nitawazidishia dozi bureeeHabarini , hopefully mpo salama
Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi
Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27]
Kwa dada/mwanamke aliyekamilika atazingatia yafuatayo:-
1 .Kazi
Mwanamke kabla hajaamua kujenga malengo na wewe ataangalia kwanza nini unafanya
Kwa hiyo kitu unachofanya Ni muhimu Sana katika kujenga mahusiano yaliyo mema
Rejea kwa Adamu,Mungu alimpa Adamu kazi ya kuitunza bustani ya edeni
Alimpa Adamu bustani ya Edeni ailime na kuitunza
Baadaye ndipo alipomfanyia msaidizi wa kufanana nae.Adamu hakupewa mwanamke kwanza kabla ya kupewa kazi Bali alipewa kazi ndipo akapewa mwanamke
Mwanzo2:15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu,akamweka katika bustani ya Edeni,ailime na kuitunza
Mwanzo2:18-25
Hapa Mungu anamtwaa mwanamke katika ubavu wa Adamu
2 .Maono
Una Maono gani juu ya maisha !?
Mithali23:7
"Maana aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Maono Ni Kama framework ya kila kitu unachokifanya
The more you see the more u succeed
Usipobadili unavyojiona huwezi badili unavyoishi.maono hutofautisha mtu mmoja na mwingine
Mith 29:18@
Pasipo Maono watu hushindwa kujizuia
Wanawake wengi pia huangalia
mwanaume aliye na maono,bila Maono huwez panga vizuri namna gani uishi.,lipi ufanye lipi usifanye
3.Akili
"Ishi na mwanamke wa akili"kifungu nitaleta.
Wanaume wengi hawana akili kabisa ya kuishi na mwanamke
Imeandikwa mwanamke ishi nae kwa akili
Wengi hawajui kuishi na wanawake kwa akili,matokeo yake Ni mahusiano kuvunjika
Jitahidi mnapoomba ombeni pia akili za kuishi na mwanamke kwa akili
4.upendo
Mwanamke anahitaji upendo
Anahitaji kupendwa haswaa
Wanawake tunapenda wanaume wanaotupenda kwa dhati .katika upendo Kuna mambo mengi..Kuna uvumilivu,upendo haujivuni,haujisifu,hautakabari,haukosi kuwa na adabu,haufurahii udhalimu,hustahimili yote,hufurahi pamoja na kweli nk
Ukiona mwanamke amefanya kitu ambacho si kizuri
Unashindwa kumuelekeza unakaa kimya Basi wewe huna upendo
Ukiwa na upendo hutaweza mdharirisha mwanamke wako kwa namna yoyote (kuwa na Adabu ambayo Ni moja ya sifa za upendo)
Itaendelea
Nawapenda[emoji8]View attachment 1005565
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe unakosaje mtu wa kukuoa ?
Habarini , hopefully mpo salama

[/QUOT
Hivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku hiyo hiyo alitaka tuonane na aje napoishi nikapiga chini,,,,,,nachotaka kusema nikuwa wanawake wanaotaka kuolewa in wengi mno ila wenye sifa za kuolewa ni wachache mno
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We unaakili sana,yaani we ni mke wangu kabisa.hako kajamaa mnapoteza mda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]Hivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku hiyo hiyo alitaka tuonane na aje napoishi nikapiga chini,,,,,,nachotaka kusema nikuwa wanawake wanaotaka kuolewa in wengi mno ila wenye sifa za kuolewa ni wachache mno
Utakula bembelezo, au una hela za kumtunza huyo jamaa yako.?Ur right,,,,wanaume wengine maono,,,,akili hawana, JAMANI ata kubembeleza [emoji50]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa hivyo ambaye huwa hawazi hela ya kidume kabisa huwa ni mvumilivu sana kwenye mahusiano na hababishwi na tamaa za kishamba kama wale omba omba type.umesahau mwanaume mashineee... kuna vchwa viko sex addict ye akichapwa vzuri mkwaju hawazi hela yako.. dizain hyo wengi watafutaji teh teh...
🤣🤣🤣🤣🤣 narudia tena, mkataba wako na mpenzio ni mapenzi tu...Huduma kila mtu akapewe na mzazi wake ama ajitafutie.Sasa utatulizaje kichwa kwa mdangaji, wengi wenu tamaa nyingi,tuu
From profile picture to proper future
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] narudia tena, mkataba wako na mpenzio ni mapenzi tu...Huduma kila mtu akapewe na mzazi wake ama ajitafutie.
Mwanamke asie na akili ya kujitaftia ni mzigo duniani mpaka mbinguni na hafai kuwa mke...acha adange mpaka awe bibi!
Jamani [emoji23]Happy New Year to u toooo....!!
[/QUOTE]Pole SanaHivyo vyote ninavyo ila huu Mwaka Wa tatu namtafuta Wa kuoa ila wote nao wapata wadangaji,,,kila ninaekutana nae kitu cha kwanza kuniuliza ni Kazi ninayofanya,,,Mfano nilipataga binti mmoja tukawa tunawasiliana vizuri ila akawa anasema yupo busy sana ila siku niliyomwambia nafanya Kazi gani siku hiyo hiyo alitaka tuonane na aje napoishi nikapiga chini,,,,,,nachotaka kusema nikuwa wanawake wanaotaka kuolewa in wengi mno ila wenye sifa za kuolewa ni wachache mno
Wafikishie na wenzio, hatutaki kuendelea kushuhudia misiba ya mapenzi zaidi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafikishie na wenzio, hatutaki kuendelea kushuhudia misiba ya mapenzi zaidi.
Sasa wana mnataka kodi alipe mwingine, saluni alipie mwingine, nguo nzuri amnunulie mwingine,unadhani ukigonga tissue atanunua nani za kufuta uchafu wako, je nani atanunua pedi?Mwanamke wa hivyo ambaye huwa hawazi hela ya kidume kabisa huwa ni mvumilivu sana kwenye mahusiano na hababishwi na tamaa za kishamba kama wale omba omba type.
Yeye focus ni umuoneshe mapenzi umkaze freshi tu anafurahia mahusiano na hii ndio aina ya mwanamke ambaye wengi tunaota kuwapata ila tunaishia kuwapata wale wa tuma na ya kutolea, kuwalipia kodi, saluni na ada za vyuo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]