Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

huyu mtu nimemkubali bila hata kumpa muda wa kumjua kama kaniona mgeni mtaani anitumie tu anibwage?
Hapa ndipo wengi wanapoharibu wakifika hatua hii wanaanza kuyakoroga hapa wanaanza kuwabebesha watu majukumu ya kingesengese sijui kusuka sijui ushubwada gani, kwani wewe kabla yangu hela ya kusukia ulikua unatoa wapi? Oh gesi imeisha luku imeisha wewe kabla yangu ulikua unatoa wapi hela?
 
mkioana sio kua kuishi kwa mahaba ndio basi tena, kuna mahaba na mawaa upo baba weee huwezi achia wenzio,
Mahaba ya kutongozea sio sawa na mahaba ya kwenye ndoa, ndio maana ukishaingia kwenye ndoa kuna kitu kinabadirika kwa hio hapo ndipo wengi wanaanza kujiharibia mfano wewe ishawahi kuhesabu mpaka sasa jamaa yako amekutomba mara ngapi au hua hauhesabu kabisa leo nimetombwa vizuri leo sijatombwa vizuri hauhesabu?
 
Upumbavu tu
 
Sema mwanamke akikuoenda bhna Raha sana wala hutumii nguvu,
Hongereni sana mnaopendwa na wanawake zenu Muwatunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…