Je kuhusu kiebrania/kiyahudi kuhusu hizo jinsia na hayo maneno?Changamoto hapa Ni Lugha.
Katika kiingereza wakati jinsia sio specific hutumia kiwakilishi "He" . Ingawa Biblia inasema Mbinguni hakuna Jinsia Biblia hutumia He kuwarejelea watu wa Mbinguni.
Taifa la Israeli ktk Bible huitwa WANA wa Israel japo Ni Mchanganyiko wa Jinsia 2,ke na me .
Hapana, Umeandika UongoWakishaoana wawili(sio zaidi)wanakuwa mwili mmoja, bibilia haitaki waachane isipokuwa kwa uzinzi, hivyo uzinzi unaachanisha ndoa bila kujali ni nani kazini, kwa hiyo mume mzinzi anatakiwa aachwe/apewe talaka, hakuna aliye juu ya sheria ya uzinzi, bibilia haijahalalisha uzinzi kwa mwanamme
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicely, nimesoma ila haijawa straight kujibu swali languRudia tena kusoma chapisho langu nililokuquote hap juu. Nimeshaedit na kuongezea nyama... Nadhani na swali lako litakuwa limeshajibiwa kwenye hiyo addition...
Sitaki kubishana aliye na masikio na asikie niliyoyaongea ambayo roho wa Mungu anawaambiaHapana, Umeandika Uongo
Biblia inasema kuwa wanapooana wanakuwa mwili mmoja, ni sawa
Haisemi kuwa wanaweza kuachana kwa Uzinzi...ILA inasema Mume na asimwache Mkewe isipokuwa kwa dhambi ya Uzinzi tu.
Wataka kubisha hilo?
Karibu.
Habarini wadau,
Mara nyingi sana wanawake wamekuwa wanaposaliti au wanapoamua kujihalalishia dhambi ya uzinzi huwa wanaambiwa kabisa kuwa ukiwa kama mke na kuzini basi Biblia inatoa ruhusa ya wewe mke mzinzi kuachwa moja kwa moja na mumewe (ikiwa kuna ushahidi wa uzinzi huo)
Maajabu ni kwamba nao wanauliza kuwa;
Je, mume akizini au akiwa na mke wa nje aachwe/ apewe talaka?
JIBU: Ni uamuzi wako wewe mwanamke kuwa umsamehe mume huyo, umuombee au umuonye lakini Biblia inashauri kuwa ni vema mume kuwa na mke wake mwenyewe (yaani mmoja)
Lakini hakika, hakuna mahali ambapo Biblia imetamka kuwa mwanaume mzinzi aachwe au apewe talaka na mkewe.
Ikiwa kuna mstari huo katika Biblia Takatifu, mmoja auweke hapa.
Hili limesababisha wanawake wengi (na mmoja amelalamika humu jamvini) kusema kuwa Biblia inawanyanyasa wanawake.
Mwanaume ni mfano wa Mungu. Biblia haifanyiwi arguments na ajabu zaidi huwa haibadiliki.
Enyi wake waombeeni waume zenu waishi kwa namna ya kumpendeza Mungu Muumbaji bila kuwaudhi ninyi ila msishindane na wanaume au kutafuta haki sawa na wanaume.
Hilo halitatokea hakika.
Wabillah Tawfiq,
Roho wa Mungu anawaongoza watu kusema kile ambacho KAMWE hakipingani na Biblia Takatifu.Sitaki kubishana aliye na masikio na asikie niliyoyaongea ambayo roho wa Mungu anawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna comment umepewa majibu mbona.agata edward
Ndio ni Uzinzi..na Uzinzi ni Dhambi
Swali langu lilikuwa: Ni wapi katika Biblia inampa ruhusa Mke wa Ndoa kumuacha Mumewe kwasababu ya Uzinzi?
Wala nia yangu si kuhalalisha uzinzi.
Na mie sijazungumzia kuona kwa macho ila nimemaanisha kuwa hauhisi chochote kwenye nafsi yako pindi utamkapo hivyo?Mimi naamini kuwa Uzito hauonekani kwa macho ila unapimika.
Wewe umeonaje?
SawaHabarini wadau,
Mara nyingi sana wanawake wamekuwa wanaposaliti au wanapoamua kujihalalishia dhambi ya uzinzi huwa wanaambiwa kabisa kuwa ukiwa kama mke na kuzini basi Biblia inatoa ruhusa ya wewe mke mzinzi kuachwa moja kwa moja na mumewe (ikiwa kuna ushahidi wa uzinzi huo)
Maajabu ni kwamba nao wanauliza kuwa;
Je, mume akizini au akiwa na mke wa nje aachwe/ apewe talaka?
JIBU: Ni uamuzi wako wewe mwanamke kuwa umsamehe mume huyo, umuombee au umuonye lakini Biblia inashauri kuwa ni vema mume kuwa na mke wake mwenyewe (yaani mmoja)
Lakini hakika, hakuna mahali ambapo Biblia imetamka kuwa mwanaume mzinzi aachwe au apewe talaka na mkewe.
Ikiwa kuna mstari huo katika Biblia Takatifu, mmoja auweke hapa.
Hili limesababisha wanawake wengi (na mmoja amelalamika humu jamvini) kusema kuwa Biblia inawanyanyasa wanawake.
Mwanaume ni mfano wa Mungu. Biblia haifanyiwi arguments na ajabu zaidi huwa haibadiliki.
Enyi wake waombeeni waume zenu waishi kwa namna ya kumpendeza Mungu Muumbaji bila kuwaudhi ninyi ila msishindane na wanaume au kutafuta haki sawa na wanaume.
Hilo halitatokea hakika.
Wabillah Tawfiq,
Mi sitaki kwenda huko unapotaka,we umesema uzito hauonekani kwa macho hivyo maana yake kuna kuona tofauti na kutumia macho na ndiyo maana nikasema mie sijakusudia kuona kwa kutumia macho na nikafafanua nilichokusudia.Kwani ni organ ipi inayomwezesha mtu kuona?
Tuanzie huko kabla sijakujibu Sheikh.
Kuna kuona vipi tena kusikohusisha macho sheikh?Mi sitaki kwenda huko unapotaka,we umesema uzito hauonekani kwa macho hivyo maana yake kuna kuona tofauti na kutumia macho na ndiyo maana nikasema mie sijakusudia kuona kwa kutumia macho na nikafafanua nilichokusudia.