Mmh wambadilishie wampe Mechanical eng bhana🤭Amechaguliwa NIT kwa Diploma ya Aircraft Maintenance Engineering
Umemalizia vizuri sana,, Japo ulianza kiharakati sana...Ntamlinda kwa maombi na kwa "mbwinu" nyingine zozote nazoweza including kufuatilia nyendo zake.
mmh wambadilishie wampe Mechanical eng bhana
Vijana naona hizi nyuzi za kuegemea upande mmoja zinakithiri sana, muelekeo wake ni kama mnahalalisha sisi wanaume tuendelee kuzini au jambo la uzinzi liwe halali.Habari kwenu!
Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwakwe na familia yake.
aisha yako na utaumia haswa na hauta jua ufanye nini?
Si heri hio ina soko asa Air craft soko gumu gumu kidogoUnataka aishie kuwa fundi gereji, atengeze Passo
hakunagaNina mwanamume wa nguvu, anayejitambua na ana akili zake timamu. Kila mmoja wetu ni mlinzi wa mwenzie. Imeisha hiyoo
Kwa hiyo una wake wengi mkuu?Vijana naona hizi nyuzi za kuegemea upande mmoja zinakithiri sana, muelekeo wake ni kama mnahalalisha sisi wanaume tuendelee kuzini au jambo la uzinzi liwe halali.
Aisee, zinaa ni mbaya sana na ni deni, kwa yeyote yule awe mwanamke, tuwe sisi na wasio kuwa sisi katika rika na umri wowote.
Wake zangu wanashika simu zangu na mimi lazima nishike simu zao, ikitokea wakakutana na mipango yangu ya kuongeza mke mwingine huwa nawaambia, hala hala wasiniharibie mipango yangu. Nitaruka na mtoto wa mtu.
si heri hio ina soko asa Air craft soko gumu gumu kidogo
Kuna fala mmoja alinifanyia hivyo wakati nipo tungi mbaya mno,sasa alichokutana nacho anajua mwenyewe.Ukiweka simu yako lock ya fingerprint usiku anakugusisha kwenye hicho kidole ukiwa umelala, lock inatoka[emoji16][emoji16][emoji16]
Huo upevukaji ni pamoja na kujua kuwa ili uweze kuishi na mwanamke vizuri Basi inatakiwa asikujue Sana Kijua mawili matatu kuhusu we inatosha.[emoji848][emoji848][emoji848] ???? Tunaweza sema hivi hata kwake pia na yeye asikuweke wazi mambo yake mbona simple tu ndoa ni mkataba mna haki ya kuwekeana good terms and conditions .
Sasa sijui unacholalama ni nini ? Halafu uanaume haupimwi kwa uwazi wa mtu ,unapimwa kwa upevukaji wa kiakili wa muhusika si kutuletea double standards mzeee unaonekana mtoto.
Hivi ukikagua ukikuta kwa wazazi wangu natuma salio la kutosha alafu kwenu ni vile tu Hadi mlie Sana ndio niwasaidie utajisikiaje.....?Umesema kweli my dear, watu wanaongea tu hapa,
Mie nashika uzuri simu ya Mume na yeye anashika yangu na kushika simu ya mwenza sio sababu unamchunguza ila yapo mbali mbali ya kushikiana simu,
Kama ana cheat acheat kwa adabu sababu anajua kichaa changu, mwaka wa 8 huu sijaona ujinga so afanye kwa akili lakini simu nashika kama kawaida na hajawahi kulalamika.
Nikimaanisha hivi kushika simu yangu sio Hadi kuwe na Mambo ya uzinifu Kama wengi mnavyo fikiriVijana naona hizi nyuzi za kuegemea upande mmoja zinakithiri sana, muelekeo wake ni kama mnahalalisha sisi wanaume tuendelee kuzini au jambo la uzinzi liwe halali.
Aisee, zinaa ni mbaya sana na ni deni, kwa yeyote yule awe mwanamke, tuwe sisi na wasio kuwa sisi katika rika na umri wowote.
Wake zangu wanashika simu zangu na mimi lazima nishike simu zao, ikitokea wakakutana na mipango yangu ya kuongeza mke mwingine huwa nawaambia, hala hala wasiniharibie mipango yangu. Nitaruka na mtoto wa mtu.