Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Ntamlinda kwa maombi na kwa "mbwinu" nyingine zozote nazoweza including kufuatilia nyendo zake.
Umemalizia vizuri sana,, Japo ulianza kiharakati sana...

InFact fanya vile inavyokupendeza ili uokoe nafsi yako,, unajua Wanawake mkikaa na amani sana huwa mnakuwa bored sometime..

Hizi ni Opinions zangu tu na sio fact.
 
Habari kwenu!

Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwakwe na familia yake.

aisha yako na utaumia haswa na hauta jua ufanye nini?
Vijana naona hizi nyuzi za kuegemea upande mmoja zinakithiri sana, muelekeo wake ni kama mnahalalisha sisi wanaume tuendelee kuzini au jambo la uzinzi liwe halali.

Aisee, zinaa ni mbaya sana na ni deni, kwa yeyote yule awe mwanamke, tuwe sisi na wasio kuwa sisi katika rika na umri wowote.

Wake zangu wanashika simu zangu na mimi lazima nishike simu zao, ikitokea wakakutana na mipango yangu ya kuongeza mke mwingine huwa nawaambia, hala hala wasiniharibie mipango yangu. Nitaruka na mtoto wa mtu.
 
Kwa hiyo una wake wengi mkuu?
 
si heri hio ina soko asa Air craft soko gumu gumu kidogo

Be that as it may

Kila kitu kina soko mkuu,, endapo ukijua wapi pa kukiuza.... What you need is Knowledge + information
 
Ukiweka simu yako lock ya fingerprint usiku anakugusisha kwenye hicho kidole ukiwa umelala, lock inatoka[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna fala mmoja alinifanyia hivyo wakati nipo tungi mbaya mno,sasa alichokutana nacho anajua mwenyewe.
 
Poleni sana...
Hayanaga muongozo...

Kuna member kaleta uzi wa kuchanganyikwa baada ya kusoma sms kutoka kwenye simu ya mume wake na kukuta ana mchepuko na penzi zito...

Wewe ndiyo mume wake au...
 
Aina ya mleta mada ndo huwa wanapigwa matukio wanaishia kuua au kujiua. Acheni ujuaji kila mmoja ana moyo wa nyama.
Pitia pitia nyuzi zangu asilimia kubwa Zina reflect maisha yangu halisi
 
[emoji848][emoji848][emoji848] ???? Tunaweza sema hivi hata kwake pia na yeye asikuweke wazi mambo yake mbona simple tu ndoa ni mkataba mna haki ya kuwekeana good terms and conditions .

Sasa sijui unacholalama ni nini ? Halafu uanaume haupimwi kwa uwazi wa mtu ,unapimwa kwa upevukaji wa kiakili wa muhusika si kutuletea double standards mzeee unaonekana mtoto.
Huo upevukaji ni pamoja na kujua kuwa ili uweze kuishi na mwanamke vizuri Basi inatakiwa asikujue Sana Kijua mawili matatu kuhusu we inatosha.

Sasa wewe mwanamke wako ashakujua a to z unahishi utamuambia kitu gani kipya akakusiliza mzee.....?

Kwa mwandiko wako bado unasafari ndefu Sana kuweza kuhimili mikiki ya wanawake
 
Wanaume huwa mnatuchukuliaje sijui sometimes.. kitu usichopenda kufanyiwa usimfanyie na mwenzio..
Maneno yote mnaongea ili tu kuhalalisha usaliti..
Mwanaume hasaliti bana
 
Umesema kweli my dear, watu wanaongea tu hapa,
Mie nashika uzuri simu ya Mume na yeye anashika yangu na kushika simu ya mwenza sio sababu unamchunguza ila yapo mbali mbali ya kushikiana simu,

Kama ana cheat acheat kwa adabu sababu anajua kichaa changu, mwaka wa 8 huu sijaona ujinga so afanye kwa akili lakini simu nashika kama kawaida na hajawahi kulalamika.
Hivi ukikagua ukikuta kwa wazazi wangu natuma salio la kutosha alafu kwenu ni vile tu Hadi mlie Sana ndio niwasaidie utajisikiaje.....?
 
Wengine tukichit wake zetu ndio wanatuomba msamaha wenyewe
Si ndio my dear Hannah au utanimwagia uji wa moto?
 
Vijana naona hizi nyuzi za kuegemea upande mmoja zinakithiri sana, muelekeo wake ni kama mnahalalisha sisi wanaume tuendelee kuzini au jambo la uzinzi liwe halali.

Aisee, zinaa ni mbaya sana na ni deni, kwa yeyote yule awe mwanamke, tuwe sisi na wasio kuwa sisi katika rika na umri wowote.

Wake zangu wanashika simu zangu na mimi lazima nishike simu zao, ikitokea wakakutana na mipango yangu ya kuongeza mke mwingine huwa nawaambia, hala hala wasiniharibie mipango yangu. Nitaruka na mtoto wa mtu.
Nikimaanisha hivi kushika simu yangu sio Hadi kuwe na Mambo ya uzinifu Kama wengi mnavyo fikiri

Ni hivi umekagua simu yangu ukakuta mama yangu namtumia hela za maana hata bila sababu muda mwingine ale ajichane. Halafu ukweni natuma nikijisikia au kwa kupmbwa Sana ...vipi ukikutana na meseji za hivo utavumilia......?
 
Back
Top Bottom