Hilo ni jambo moja ila chungu zaidi ni kuwa unakuta mwamba amuachi huyo mpango wa kando licha ya makelele kibao mke anayopiga dhidi ya hilo swala ila mjuba anabadili mbinu tu.Kila raheli mama hukatazwi .... Ila usije ukakuta wa nje anamautundu kukushinda na ndio ikawa tiketi yako ya kuachana na huyo umpendae ..... Safari njema
Sasa mateso hayo yote ya nnUnalia na hukomii.. Unaendelea kuishika tuu..
Ukishashika simu mara moja ndio inakuwa uraibu kutaka kuishika kila siku. Mwishowe ni kilio kila siku na ugomvi usioisha. Hata siku ukikagua usipokuta chochote utakumbushia zile sms ulizoona mwaka jana.
Tatizo watu hawajui kuwa kabla ya kufunga nao ndoa tulikua na partner in crime ...yaani tulikua na wapenzi tuwapendao hasa na kuwaacha ni ngumu. Ila zilitokea tu sababu Kama za utofauti kidini nk rukashindwa kuoana lkn still tunapendana na tuna bond bado katika Mambo mengi.Hilo ni jambo moja ila chungu zaidi ni kuwa unakuta mwamba amuachi huyo mpango wa kando licha ya makelele kibao mke anayopiga dhidi ya hilo swala ila mjuba anabadili mbinu tu.
Au unakuta mwanamke amuachi huyo hawara wake Richie licha ya kumgundua na kumpigia makelele sana na makofi.Still wana keep in touch. Amna maumivu mabaya zaidi ya hayo.
Kuna mdau ameshauri tuwe tunazima simu na kuwasha kabla ya kulala you li PIN ijiwekeHii ni zaidi ya umafia wa Pablo Escobar😅😅😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alie oa hapa naamini Moto wa kiama ameanza kuufaidi duniani. [emoji38][emoji38][emoji38]
Sijawahi rudia huu upuuzi.... Ila nilimpiga tukio la live band.Kilicho kutuma Nini...? Hadi leo ukikumbuka inakuuma
He is the happiest man on earth. Even in our next lives; he'd still choose me. Linajitambua sana hili libaba langu; ndiyo maana nakaba kwa Kila mbwinu; he is a rare gem. Kwenye maisha usimfanyie mwenzi wako usichotaka kufanyiwa; wote tuna mioyo sawa, hakuna mwenye moyo unaosikia maumivu kidogo kuliko wa mwingine.Alie oa hapa naamini Moto wa kiama ameanza kuufaidi duniani. [emoji38][emoji38][emoji38]
Eti mwanandoa yupo busy kuvizia simu ya mwenzi achungulie password. Nyiee, dunia Ina vituko 😁😁😁Password kama flyover za New York [emoji23][emoji23][emoji23]
Vivo hivyo ni ngumu sana kumchunga mwanamke wako! Atasema naenda kusuka saloon,kumbe kaenda kuliwaNi vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...
Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...
Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...
Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...
Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.
Ni vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...
Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...
Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...
Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...
Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umenichekesha sana asubuhi hii jamani daah[emoji28][emoji28][emoji28]atasifiwa zaidi akianza kupokea watoto wa nje na kuugua magonjwa ya aibu.
Na asiombee siku anafahamu mume wake ni mke wa watu sifa huwa maradufu
Tupe mawasiliano ya rafiki zake tuwaulize Kama kweli jamaa anafurahia au anavumilia watoto wakueHe is the happiest man on earth. Even in our next lives; he'd still choose me. Linajitambua sana hili libaba langu; ndiyo maana nakaba kwa Kila mbwinu; he is a rare gem. Kwenye maisha usimfanyie mwenzi wako usichotaka kufanyiwa; wote tuna mioyo sawa, hakuna mwenye moyo unaosikia maumivu kidogo kuliko wa mwingine.
Teh mimi ndiyo mkewe ninayeshuhudia hapa; angekuwa hana furaha si angeshasepa; kwani wanawake tumeisha? Ila kanikamatia huyo, haniachiii uuuhTupe mawasiliano ya rafiki zake tuwaulize Kama kweli jamaa anafurahia au anavumilia watoto wakue
Ila wanawake bana yaani wewe ndio wakunitishia uzeeni .....[emoji1][emoji1][emoji1] Mimi mwanaume na nusu sijisifii Ila huwezi kunifanya msukule kwa kauli dhaifu Kama hizi. Hizi mtawakamatia wanaume wenu hao wanao wapata kwa kuwaonea huruma sio Mimi.Teh mimi ndiyo mkewe ninayeshuhudia hapa; angekuwa hana furaha si angeshasepa; kwani wanawake tumeisha? Ila kanikamatia huyo, haniachiii uuuh
Endelea kupanda mbegu ya maumivu kwa mkeo; aendelee kuzaa uchungu ndani yake. Fainali uzeeni. Tutakutana kwenye nyuzi nyingine byeeeee
Bye Lance[emoji16][emoji16] [emoji706][emoji706]Ila wanawake bana yaani wewe ndio wakunitishia uzeeni .....[emoji1][emoji1][emoji1] Mimi mwanaume na nusu sijisifii Ila huwezi kunifanya msukule kwa kauli dhaifu Kama hizi. Hizi mtawakamatia wanaume wenu hao wanao wapata kwa kuwaonea huruma sio Mimi.
....Mimi jogoo na suke zangu siogopi utitili....
hahah unai restart tu kisha unalalaKuna mdau ameshauri tuwe tunazima simu na kuwasha kabla ya kulala you li PIN ijiweke
Sisi hatusaliti ni nature tu ndio inatutesa siku mtakapokuja kujifunza na kulikubali hili mtaishi kwa amani ila nyinyi ndio mna saliti na adhabu ya mwanamke msaliti ni kumuacha kabisaWanaume huwa mnatuchukuliaje sijui sometimes.. kitu usichopenda kufanyiwa usimfanyie na mwenzio..
Maneno yote mnaongea ili tu kuhalalisha usaliti..
Tatizo watu hawajui kuwa kabla ya kufunga nao ndoa tulikua na partner in crime ...yaani tulikua na wapenzi tuwapendao hasa na kuwaacha ni ngumu. Ila zilitokea tu sababu Kama za utofauti kidini nk rukashindwa kuoana lkn still tunapendana na tuna bond bado katika Mambo mengi.
Sio hivyo tu Kuna siku nilituma pesa ya kulipia bidhaa kwa mwanadada mmoja hivi na kuja kumuuliza kwa sms kuwa Kama kaipata na kumshukuru kwa kunivumilia Basi maongezi yaliishia hapo.....huwezi amini mke wangu Hana kawaida ya kushika simu yangu lkn hii siku alishika na akakuta na hizo meseji na huyo dada nimemsevu kwa majina yake ...si akaenda akasoma na meseji za mpesa kakuta nimemtumia hela ....hicho kilio chake sio cha nchi hii mtu Hana amani Hadi Leo na ndio wimbo wake [emoji38][emoji38][emoji38]