Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

Kila raheli mama hukatazwi .... Ila usije ukakuta wa nje anamautundu kukushinda na ndio ikawa tiketi yako ya kuachana na huyo umpendae ..... Safari njema
Hilo ni jambo moja ila chungu zaidi ni kuwa unakuta mwamba amuachi huyo mpango wa kando licha ya makelele kibao mke anayopiga dhidi ya hilo swala ila mjuba anabadili mbinu tu.

Au unakuta mwanamke amuachi huyo hawara wake Richie licha ya kumgundua na kumpigia makelele sana na makofi.Still wana keep in touch. Amna maumivu mabaya zaidi ya hayo.
 
Hongera sana,usilegeze uzi.
Hapana mke hapo ...maisha gani unaishi kwa kukaguliwa hivo ...? Yaani mwanaume na dushe langu nakaguliwa Kama mtoto khaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hata Kama tumefunga Jana ndoa Leo naivunja
 
Unalia na hukomii.. Unaendelea kuishika tuu..

Ukishashika simu mara moja ndio inakuwa uraibu kutaka kuishika kila siku. Mwishowe ni kilio kila siku na ugomvi usioisha. Hata siku ukikagua usipokuta chochote utakumbushia zile sms ulizoona mwaka jana.
Sasa mateso hayo yote ya nn
 
Hilo ni jambo moja ila chungu zaidi ni kuwa unakuta mwamba amuachi huyo mpango wa kando licha ya makelele kibao mke anayopiga dhidi ya hilo swala ila mjuba anabadili mbinu tu.

Au unakuta mwanamke amuachi huyo hawara wake Richie licha ya kumgundua na kumpigia makelele sana na makofi.Still wana keep in touch. Amna maumivu mabaya zaidi ya hayo.
Tatizo watu hawajui kuwa kabla ya kufunga nao ndoa tulikua na partner in crime ...yaani tulikua na wapenzi tuwapendao hasa na kuwaacha ni ngumu. Ila zilitokea tu sababu Kama za utofauti kidini nk rukashindwa kuoana lkn still tunapendana na tuna bond bado katika Mambo mengi.

Sio hivyo tu Kuna siku nilituma pesa ya kulipia bidhaa kwa mwanadada mmoja hivi na kuja kumuuliza kwa sms kuwa Kama kaipata na kumshukuru kwa kunivumilia Basi maongezi yaliishia hapo.....huwezi amini mke wangu Hana kawaida ya kushika simu yangu lkn hii siku alishika na akakuta na hizo meseji na huyo dada nimemsevu kwa majina yake ...si akaenda akasoma na meseji za mpesa kakuta nimemtumia hela ....hicho kilio chake sio cha nchi hii mtu Hana amani Hadi Leo na ndio wimbo wake [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Alie oa hapa naamini Moto wa kiama ameanza kuufaidi duniani. [emoji38][emoji38][emoji38]
He is the happiest man on earth. Even in our next lives; he'd still choose me. Linajitambua sana hili libaba langu; ndiyo maana nakaba kwa Kila mbwinu; he is a rare gem. Kwenye maisha usimfanyie mwenzi wako usichotaka kufanyiwa; wote tuna mioyo sawa, hakuna mwenye moyo unaosikia maumivu kidogo kuliko wa mwingine.
 
Ni vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...

Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...

Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...

Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...

Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.
Vivo hivyo ni ngumu sana kumchunga mwanamke wako! Atasema naenda kusuka saloon,kumbe kaenda kuliwa
 
Ni vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...

Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...

Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...

Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...

Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.

😅😅😅atasifiwa zaidi akianza kupokea watoto wa nje na kuugua magonjwa ya aibu.
Na asiombee siku anafahamu mume wake ni mke wa watu sifa huwa maradufu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]atasifiwa zaidi akianza kupokea watoto wa nje na kuugua magonjwa ya aibu.
Na asiombee siku anafahamu mume wake ni mke wa watu sifa huwa maradufu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umenichekesha sana asubuhi hii jamani daah
 
He is the happiest man on earth. Even in our next lives; he'd still choose me. Linajitambua sana hili libaba langu; ndiyo maana nakaba kwa Kila mbwinu; he is a rare gem. Kwenye maisha usimfanyie mwenzi wako usichotaka kufanyiwa; wote tuna mioyo sawa, hakuna mwenye moyo unaosikia maumivu kidogo kuliko wa mwingine.
Tupe mawasiliano ya rafiki zake tuwaulize Kama kweli jamaa anafurahia au anavumilia watoto wakue
 
Teh mimi ndiyo mkewe ninayeshuhudia hapa; angekuwa hana furaha si angeshasepa; kwani wanawake tumeisha? Ila kanikamatia huyo, haniachiii uuuh

Endelea kupanda mbegu ya maumivu kwa mkeo; aendelee kuzaa uchungu ndani yake. Fainali uzeeni. Tutakutana kwenye nyuzi nyingine byeeeee
 
Ila wanawake bana yaani wewe ndio wakunitishia uzeeni .....[emoji1][emoji1][emoji1] Mimi mwanaume na nusu sijisifii Ila huwezi kunifanya msukule kwa kauli dhaifu Kama hizi. Hizi mtawakamatia wanaume wenu hao wanao wapata kwa kuwaonea huruma sio Mimi.

....Mimi jogoo na suke zangu siogopi utitili....
 
Bye Lance[emoji16][emoji16] [emoji706][emoji706]
 
Wanaume huwa mnatuchukuliaje sijui sometimes.. kitu usichopenda kufanyiwa usimfanyie na mwenzio..
Maneno yote mnaongea ili tu kuhalalisha usaliti..
Sisi hatusaliti ni nature tu ndio inatutesa siku mtakapokuja kujifunza na kulikubali hili mtaishi kwa amani ila nyinyi ndio mna saliti na adhabu ya mwanamke msaliti ni kumuacha kabisa
 
Af wanawake bwana kama wachawi, mimi siku nayopiga tukio ndio siku ambayo atapiga masimu yake wee hadi unashagaa hii inakuwa vipi?😀
Kuna roho mtakatifu anamuongoza maza hauzi wako huyo sio bure

Back
Top Bottom