Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hilo ni jambo moja ila chungu zaidi ni kuwa unakuta mwamba amuachi huyo mpango wa kando licha ya makelele kibao mke anayopiga dhidi ya hilo swala ila mjuba anabadili mbinu tu.Kila raheli mama hukatazwi .... Ila usije ukakuta wa nje anamautundu kukushinda na ndio ikawa tiketi yako ya kuachana na huyo umpendae ..... Safari njema
Au unakuta mwanamke amuachi huyo hawara wake Richie licha ya kumgundua na kumpigia makelele sana na makofi.Still wana keep in touch. Amna maumivu mabaya zaidi ya hayo.