Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Hehehe
 
Jamanii, sasa mimi na komwe langu hilii nikimtizama NYAU lazima atoke baru.

Ninafaa sana kukulinda DHIDI YA wanyama na vijidudu.

Kwenye hilo utanipenda. Nina KOMWE MCHONGOKO kama bikari.
Umenichekesha mkuu, bahati mbaya tunaangaliaga na genes tutakazopass kwa watoto wetu,kigezo cha u handsome tuna interpret kama ni sign of good genes..
 
Hapana kwakweli raha mwanaume awe amekuzidi umri, ila kuna waki na sisi mwili na miaka tuliyonayo ni maji na mafuta wale walokuzidi umri unaowataka wewe, wanakuona katoto nao ulowazidi umri nao wanakuona mtoto mwenzao bila aibu vinakupiga sound kabisa jamani jamani, mje mnipe recipe ya kunenepa.
 
Tunarudi pale pale kwenye TALL, DARK and HANDSOME.

Tuongeze na POWERFUL HANDS.

Maandunje wajipange. Hakuna mbususu wataonja.

Mbususu zote zinataka TALL, DARK and HANDSOME, na POWERFUL HANDS.
 
Yani ni hivi mwanaume anatakiwa kunizidi parefu kwa kila kitu hadi dhambi, shem wako ananipiga gap la 15 kwahiyo kwa mujibu wa mada yako binafsi sitaki hata tulio rika moja
Ukiona shem kazeeka unaanza kuwa shangazi... Si yaleyale tu....

Tena na siku hizi kwenye jamii zetu mwanaume wa 50+ Ana sukari + BP isiyotulia
Ukiangalia mwanamke ana 35 - 40 minyege kibao, anaanza kutafuta wa 28+
 
Umenichekesha mkuu, bahati mbaya tunaangaliaga na genes tutakazopass kwa watoto wetu,kigezo cha u handsome tuna interpret kama ni sign of good genes..
Kuna MABABA yana SURA mbaya lakini yana watoto wazurii hadi basiiiii.

Umeshawaona watoto wa WASIRA? Ni Wako CUTEE hatareeeee....

Mimi na KOMWE LANGU natarajiaa kuzaa vitoto vihendsome visivyo na makomwe.
 
Raha ya mshangazi ukulee totoo, yaani wewe kazi yako ni show tu

Mshangazi uliofulia wa kazi gani? Utakuambukiza stress bado kijana mdogo uzeeke kabla ya umri wako bure🤣
nataka wakunizidi miaka 1-10😂 hapo sio shangazi bana

kwa Depal nafua dafu kweli??😬
 
Kuna MABABA yana SURA mbaya lakini yana watoto wazurii hadi basiiiii.

Umeshawaona watoto wa WASIRA? Ni Wako CUTEE hatareeeee....

Mimi na KOMWE LANGU natarajiaa kuzaa vitoto vihendsome visivyo na makomwe.
Sina uhakika na genetics, ila ukimpata mkeo mwenye komwe kama wewe,tegemea kupata watoto wenye komwe 😁
 
Nishakutana mwanamke mmoja alinizidi miaka 2, alisaliti amri, kwanza alizoea pelekesha wanaume... Nikamuonyesha kwamba mwanaume ni mwanaume tu katika kila idara... Akanyoosha mikono juu
vizuri kama unaweza kuwanyoosha😊🙌
 
Sina uhakika na genetics, ila ukimpata mkeo mwenye komwe kama wewe,tegemea kupata watoto wenye komwe [emoji16]
Sitaki mke mwenye KOMWE kama langu, nataka USO FLATIIII kama sakafu ili tufidie MAKOMWE YA WATOTO.

Nikipata USO FLATI / BAPA ntazaa vitoto vihendsome na vicute. Ni raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…