Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Huu ndio utoto sasa.
 
Duuuh! Kwa hiyo kama mtu sio handsome maana yake sio sign ya good genes.
Ngumu mkuu,lakini ndivyo tunavyo interpret ukumbuke tunazaa watoto watakaosambaza DNA/uzao wetu mpaka kizazi kinachofuata, na kinachofuata hilo ndio lengo kuu la procreation,mtu akiwa mbaya maanake atasambaza genes mbaya kwa watoto,na watoto wakizaliwa kama sio wazuri maanake watashindwa kupata mates,na wakishindwa kupata mates maana yake DNA zetu hazitakua passed on, mimi siwezi kuelezea vizuri lakini ni hivyo...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…