Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Hizo ni preferences zako kama hupendi wanaume wenye misuli, Chagua mwanaume legelege kama hata utakuwa na amani humo ndani..

seriously wakiwekwa wanaume na wanawake kwenye room waambiwe wachaguane, wanaume wanaoonyesha wanaweza ku provide security iwe physically,financially etc ndio watakuwa favoured, ni traits zinazoangaliwa na females.

Kichwani awe smart ni jambo tunaloangalia pia,ila si kweli mabaunsa hawana deal,tembea uone..
 
Napenda mwanaume mwenye ukomavu wa akili...anaweza kuwa mkubwa ila ndio akawa kama alivyokuwa boma yee!boma liwanza..
Muache mtu wetu apumzike huko aliko,asije akakujengea hoja huko aliko,ukamfuata...😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…