mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
- Thread starter
-
- #561
alifeli sana๐ endeleeni kuringaNdiyo japo ilikuwa ngumu ujue walishanogewa
Jamaa alikuwa na utoto kiasi chakealifeli sana๐ endeleeni kuringa
red flags zitawaacha single๐ haya....Jamaa alikuwa na utoto kiasi chake
Me siringi najua nitapata size yangu
Yani kiukweli itaniuma my x boyfriend nilikuwa na wasiwas na umri wake nae akanitajia umri nilomzid mwak mmoja nikiangalia shule mm nilitangulia kumaliza,kabla yake nilikuwa najisikia vibaya sanaOne of my friends ilimkuta katoto kalijua kumpenda na kumspoil sana
Sasa my friend yupi on early 30
Siku anakuja kujua mpnz wake Ana 26
Alilia week nzima
Sema namkataaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona unadate na mdogo wako confidence inapoteaYani kiukweli itaniuma my x boyfriend nilikuwa na wasiwas na umri wake nae akanitajia umri nilomzid mwak mmoja nikiangalia shule mm nilitangulia kumaliza,kabla yake nilikuwa najisikia vibaya sana
Kila siku namuuliza hiv kweli ndo umezaliwa mwaka huo ๐nae anajibu Kwa msisitizo ndio na chet Cha shule akanionyesha nilichoka ๐
๐ Kumbe alichelewa kuanza shule wakamuandikisha mwak sio wake,nilikunywa peps baridi mbona๐๐
Na kazi zake zote.....nazikataaaNamkataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha kwenye kupokea komunioโฆ
Namkataa nyingi, ss hivi tunamkumbatia kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwendraaaa ๐๐๐๐๐red flags zitawaacha single๐ haya....
๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNamkataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha kwenye kupokea komunioโฆ
Namkataa nyingi, ss hivi tunamkumbatia kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na dogo hazingui anfanya ipasavyo๐huyu dogo namvulia nguo kabisa
Kabisa mm napenda walonizid au sijui sababu napenda kudeka ๐คฆ๐คฆUnaona unadate na mdogo wako confidence inapotea
Nawaza huyu dogo namvulia nguo kabisa
Hatutaki kesi za ubakaji ๐๐๐na dogo hazingui anfanya ipasavyo๐
nimegundua hichi ndo kitu kinawachanganya sanaHatutaki kesi za ubakaji ๐๐๐
Yaani mimi niwe na kavulana ka 30s Yr? Ohh nope. Labda nikaajiri kachekeshaji kangu
Na kazi zake zote.....nazikataaa
Unajibu kwa nguvu kabisa [emoji28][emoji28]
Unaona unadate na mdogo wako confidence inapotea
Nawaza huyu dogo namvulia nguo kabisa
raha sana๐unamfinya
Kuna siku nmeenda kuungama nikasema nmesema uongo sijui nmeibaKwa ukakamavu kabisaa
Cha ajabu padri anashangaa kila tukienda kufanya kitubio, tunaonekana sisi ndio tunamsaidia kufanya kazi zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐๐๐๐NimechekaNamkataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha kwenye kupokea komunioโฆ
Namkataa nyingi, ss hivi tunamkumbatia kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Raha ya mshangazi usiwe mnyonge, uwe unaweza hata kukuhonga kibunda ukifuliaEwaaaaa Wewe namimi tupo pamoja. Sitoki na mshangazi niliouzidi pesa!! Yani anizidi umri, dhambi, shida halafu nitoke nae? For what? Yani mshangazi hauna usafiri tutumie wangu, bills hauwezi kuclear hata kudonate robo unaniangalia Kama baba ake mzazi, I love to make my money loud, but not in company of broke cougars!!