Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kuna binti kaolewa na mwanaume kamzidi 30 years okus kisa pesa.namuonea sana huruma maana mwanaume ni spina mkononi. Yaani ana stress kama zote. Sasa hivi anaanza kuona jamaa ni msumbufu.
Hapo target ni maokoto mkuu mapenzi yalishazikwa... Na akiwa Spana mkononi ni furaha kwa binti..... Hapo ni kuweka nyaraka vizuri kwa majina kabla hawajakaa chini ya turubai/tent
 
Sijui nakufananisha[emoji848]
 
Hapo target ni maokoto mkuu mapenzi yalishazikwa... Na akiwa Spana mkononi ni furaha kwa binti..... Hapo ni kuweka nyaraka vizuri kwa majina kabla hawajakaa chini ya turubai/tent
Spana mkononi ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…