Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Mimi nimeolewa nae kabisa mana mijanaume niliodate nayo yenye umrinmkubwa yote ilikua chenga tu....tumepishana mitatu n we are happily married...m handsome wangu[emoji7]anipenda
Hongera sana.
 
Ukweli usemwe kuna wamama wana miili mizuri sana.
 
Wote wanaojifanya siwezi hakuna manzi humu atafatwa na chalii anasukuma G wagen au Ferari halafu aseme hamtaki [emoji1787]!
Daah! Mbona mbali sana huko G wagon brabus umewapeleka mbali mno mno....[emoji23][emoji23]
Ist, crown & harrier, hawa ukiwakuta walivyo desperate wakishafika 30s umkute hana ndoa, hana maisha, hata kama anakazi yake na hivi wana mambo mengi kuliko vipato vyao, wanapagawa balaa kutwa kulilia ndoa au mahusiano ya kudumu, ukigusa tu wanakuwa kama ruba, hawajali umri, wakiona unajiweza tu kazi unayo.
 
Hahahah unafosiwa Kingi tu
 
Kikubwa be a man kwa hiyo relationship, usitumie kigezo cha umri kama fimbo, kitu kidogo unaanza lawama, sijui unanidharau sababu umenizidi umri, mara unanidharau sijui sababu umenizidi pesa, ulifahamu hayo kabla hujaanza hayo mahusiano, You had a choice before dating matured woman...

Just love her, respect her, embrace her, let love flow...age is just a number if you know what it means...

Niko na shuhuda na mahusiano mengi tu ya wanaume waliozidiwa umri na wanasonga, wanaheshimiana na wanaanzisha familia, acha kuendekeza njaa...hiyo kitu inakata sana, Just be a man brooo....Gud luck!
 
you are also matured.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…