Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Wengi wao..wapo hivyousikate tamaa sio wote wako hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao..wapo hivyousikate tamaa sio wote wako hivyo
Samahani binti Hiyo avatar ni yako 😁😁😁Wengi wao..wapo hivyo
😅😁😁😅😅 bomu la nyukilia limenilipukia huku.Mi sijatajwa nngejibu
Hongera sana.Mimi nimeolewa nae kabisa mana mijanaume niliodate nayo yenye umrinmkubwa yote ilikua chenga tu....tumepishana mitatu n we are happily married...m handsome wangu[emoji7]anipenda
Wap huko😅😁😁😅😅 bomu la nyukilia limenilipukia huku.
Ukweli usemwe kuna wamama wana miili mizuri sana.Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia.
Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama kumkwepa kadri niwezavyo.
Niliwahi kumpata binti mmoja kwa kumdanganya umri, ila ilinitokea puani vibaya mno.
Lakini hivi karibuni nimeanza kuona kama najitesa sana kwa kuzuia hisia zangu. Nataka sasa nijaribu bahati yangu.
Swali kwenu wadada, je unaweza kua na mwanaume uliyemzidi umri, tuseme kuanzia mwaka 1 hadi miaka 10?
Unalichukuliaje swala hili? haiwezekani kabisa au ni ushamba wangu tu?
Nahitaji mawazo yenu dada zangu na shangazi zangu.
NB: wanaume pia mnaruhusiwa kuchangia kama una cha muhimu au ushauri.
To yeye
Leejay49
Demi
Aaliyyah
Kelsea
Lenie
Depal
Lovie Lady
Darlin
Ms eyes
Dahan
cocastic
Cute Wife
Bushmamy
Joanah
Joannah
Dejane
Palina
Kapeace
Cienna
Tinsley
Bantu Lady
sipendi wamama,Ukweli usemwe kuna wamama wana miili mizuri sana.
Kuna mmoja nimemuona juzi kati kanikaa akilini kweli kweli najuta kwann sikumchombeza 😭😭😭😭😭😭😭.sipendi wamama,
just slightly older
wamama wazuri kuangalia tu
Hongera cute,wanakuwa sweet sana kiukweliMimi nimeolewa nae kabisa mana mijanaume niliodate nayo yenye umrinmkubwa yote ilikua chenga tu....tumepishana mitatu n we are happily married...m handsome wangu[emoji7]anipenda
Daah! Mbona mbali sana huko G wagon brabus umewapeleka mbali mno mno....[emoji23][emoji23]Wote wanaojifanya siwezi hakuna manzi humu atafatwa na chalii anasukuma G wagen au Ferari halafu aseme hamtaki [emoji1787]!
Hahahah unafosiwa Kingi tuDaah! Mbona mbali sana huko G wagon brabus umewapeleka mbali mno mno....[emoji23][emoji23]
Ist, crown & harrier, hawa ukiwakuta walivyo desperate wakishafika 30s umkute hana ndoa, hana maisha, hata kama anakazi yake na hivi wana mambo mengi kuliko vipato vyao, wanapagawa balaa kutwa kulilia ndoa au mahusiano ya kudumu, ukigusa tu wanakuwa kama ruba, hawajali umri, wakiona unajiweza tu kazi unayo.
Usije kujaribu..ukijarbu hutoachasipendi wamama,
just slightly older
wamama wazuri kuangalia tu
sioni ubaya wake uko wapiUsije kujaribu..ukijarbu hutoacha
Ukijarbu hutowaacha maana ni wana balaa aise..ni watamu haswasioni ubaya wake uko wapi
ndo vizuriUkijarbu hutowaacha maana ni wana balaa aise..ni watamu haswa
Mimi nishakua addicted na haondo vizuri
you are also matured.Kikubwa be a man kwa hiyo relationship, usitumie kigezo cha umri kama fimbo, kitu kidogo unaanza lawama, sijui unanidharau sababu umenizidi umri, mara unanidharau sijui sababu umenizidi pesa, ulifahamu hayo kabla hujaanza hayo mahusiano, You had a choice before dating matured woman...
Just love her, respect her, embrace her, let love flow...age is just a number if you know what it means...
Niko na shuhuda na mahusiano mengi tu ya wanaume waliozidiwa umri na wanasonga, wanaheshimiana na wanaanzisha familia, acha kuendekeza njaa...hiyo kitu inakata sana, Just be a man brooo....Gud luck!