mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
- Thread starter
-
- #681
madini....Kikubwa be a man kwa hiyo relationship, usitumie kigezo cha umri kama fimbo, kitu kidogo unaanza lawama, sijui unanidharau sababu umenizidi umri, mara unanidharau sijui sababu umenizidi pesa, ulifahamu hayo kabla hujaanza hayo mahusiano, You had a choice before dating matured woman...
Just love her, respect her, embrace her, let love flow...age is just a number if you know what it means...
Niko na shuhuda na mahusiano mengi tu ya wanaume waliozidiwa umri na wanasonga, wanaheshimiana na wanaanzisha familia, acha kuendekeza njaa...hiyo kitu inakata sana, Just be a man brooo....Gud luck!
Tafuta hela mkuuu,Joti hana hivyo na ana mke na michepuko kadhaaTunarudi pale pale kwenye TALL, DARK and HANDSOME.
Tuongeze na POWERFUL HANDS.
Maandunje wajipange. Hakuna mbususu wataonja.
Mbususu zote zinataka TALL, DARK and HANDSOME, na POWERFUL HANDS.
Dada ukitongozwa na ukoo wa Wasira utakataa? Wakati unajibu tafakari na opportunities watoto wako watapataNgumu mkuu,lakini ndivyo tunavyo interpret ukumbuke tunazaa watoto watakaosambaza DNA/uzao wetu mpaka kizazi kinachofuata, na kinachofuata hilo ndio lengo kuu la procreation,mtu akiwa mbaya maanake atasambaza genes mbaya kwa watoto,na watoto wakizaliwa kama sio wazuri maanake watashindwa kupata mates,na wakishindwa kupata mates maana yake DNA zetu hazitakua passed on, mimi siwezi kuelezea vizuri lakini ni hivyo...lol
Yaaaap ...ajimudu maisha yake...nyonyo saa sita hana na hela hana,sikushauri mdogo anguUshauri wangu usidate shangazi mwenye njaa, atakupausha utafrahi
Umemaliza ....Kikubwa ni maturity kwenye nyanya nyingi za maisha.
Ukweli ni kwamba umri alio nao unamfanya awe na uzoefu katika mahusiano na maisha kwa ujumla na wengi ni waelewa mkiwa mnayajenga
Wanajua kuyajenga mahusiano hata kunapotokea hali ya kutoelewana they are good at controlling relationship
Wengi waelewa halafu wako vizuri kwenye life plan
Hawana drama kama hizi za mabinti ambao bado hawajawa mature kwenye mahusiano
Wengi sio mzigo kwa mwanamume hasa kwenye kujilipia bills
Wako mature enough hata kitandani anakupea wote mfurahie
Mambo ni mengi hayo baadhi tu
Umeongea mama, mi nampima mwanaume jinsi anapambania familia yake, jinsi anajua majukumu yake, urefu wako na usix packs aisee havileti ugali mezani wala ada za watoto, hao watoto wakiwa na sura ngumu au muonekano wa kawaida so long wamesoma na mewapambania kuwajengea bright future watapata tu wenzi...kua na janaume Hadi umeme anakupigia simu utume token kisa tu ni mrefu ,six packs, good looking and powerfully hands hapana jamani....Eeeh shosti hii analysis Yako kiboko!we unaangalia security ya kulinda himaya Kwa kuangalia body ya mtu kwani Kuna mfecane war siku hizi? Security ya Karne hii haipimwi Kwa maguvu ya mtu,kama ni hivyo wale mabaunsa wangekuwa deal, Security Ina indicator zake bwana wee., Kichwani lazima awe smart so ni rahisi kufanikiwa kusolve matatizo ya familia.
By the way sipendi wanaume wenye mamisuli,sijui six pack nawaogopa.
Hahahahah.....nimecheka jamaniiiiMimi napenda anizidi kishkaji tu,4-8,ila awe TIMAMU....... Hao wakuzidi sana umri siwataki unakaa na mtu utasema mjomba Yako bwana! yeye kila saa anakusimulia vita vya Kagera aaaaghhhr sitaki
Ukizingua unaambiwa huna adabu, kwenu hamna wakubwa...[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka. Mwanaume akiwa mkubwa sana nayo hapana hata kujiachia unashindwa unahisi kama upo na baba yako.
Nadhani unawajua wazee wa vita ya kagera😁Hahahahah.....nimecheka jamaniiii
Yaaap...very matured...you are also matured.
hamna napenda aliyenizidi kidogoEndelea tu kupenda mishangazi!
Yaaani[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Nadhani unawajua wazee wa vita ya kagera[emoji16]
Sawa🤣Tayana-wog nataka kuona mchango wako hapa🤭
Aah mi napita tuMaisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia.
Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama kumkwepa kadri niwezavyo.
Niliwahi kumpata binti mmoja kwa kumdanganya umri, ila ilinitokea puani vibaya mno.
Lakini hivi karibuni nimeanza kuona kama najitesa sana kwa kuzuia hisia zangu. Nataka sasa nijaribu bahati yangu.
Swali kwenu wadada, je unaweza kua na mwanaume uliyemzidi umri, tuseme kuanzia mwaka 1 hadi miaka 10?
Unalichukuliaje swala hili? haiwezekani kabisa au ni ushamba wangu tu?
Nahitaji mawazo yenu dada zangu na shangazi zangu.
NB: wanaume pia mnaruhusiwa kuchangia kama una cha muhimu au ushauri.
To yeye
Leejay49
Demi
Aaliyyah
Kelsea
Lenie
Depal
Lovie Lady
Darlin
Ms eyes
Dahan
cocastic
Cute Wife
Bushmamy
Joanah
Joannah
Dejane
Palina
Kapeace
Cienna
Tinsley
Bantu Lady
Nimecheka🤣🤣🤣Tusumbufu hutoo,tung'ang'anizi tukionja papuchi....siwataki hata kuwasikia🙄
🙌🤭🤣🤔Loooookunadada mmoja nilikutana nae kwenye harakati mjini.
nikapiga swaga akanigomea kwakigezo chaumri mimi Niko na 27 yeye 34
nikamlia taiming uzaifu wake uko wapi alikuwa anatumia teckno
nikawasimtongozi tena namtumia tuu zawadi ndogo ndogo Kama hela yakusuka nahela ndogo ndogo tuu.
sikumoja nikamtoa aut nikampelekea simu ya laki tano aisee huwezi amini aliniambia fanya chochote unacho taka kwenye mawili wangu mana nimeamini unanipenda kweli
nilipiga mashine usikuule kwahasira zote mana nilibeti helazangu nyingi kiasi
nini tena mkuu🙌🤭🤣🤔Looooo