Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Huwezi kujua. Kuna vijana wana hela hadi kufuru. Huyo akikutaka advertise yake moja tu unaingia mzima mzima.
Sawa mengine naweza zidiwa
Lkn sio issue ya channel o, Kwa hapo abaki tu na Hela zake!! No way
 
gap kubwa nikama miaka mingapi?
Kuanzia 10 yrs hapana jmn
Kwangu mi naona siwezi
Maana wakati Niko 60+
Mwanaume ndo kwanza itakuwa kumekucha,na lzm atafute wa umri wake sa hiyo kukidhi mahitaji..
Hapa naongelea relationship ya muda mrefu km ndoa sio hizi za kupita
 
Wewe umemzidi wako miaka mingapi? 1-5 naona sio issue, Ila ikiwa 15 mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…