mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
- Thread starter
-
- #81
asante mkuu kwa unitia moyoThis is 2023 bwana mdogo, that's the least of things you should be worried about. And well, a piece of advice if you can take it, don't be doing things na perception ya kwamba jamii itanichukuliaje, dunia ishatoka kwenye primitive thinking za namna hio, kila mtu anafanya kile kinachompa furaha bila kuleta bugudhi kwa wengine.
Wewe na miaka yako 30 anakuja dogo ana 26 tu na anakukalisha vizuri sana.awe amenizidi miaka hata mi4 basi kama ndo hivyo ππππ
Una miaka sitini na ngap kwani sasa hivi?awe amenizidi miaka hata mi4 basi kama ndo hivyo ππππ
dah, ntafanyaje na nilivofulia nashindia mihogoπWote wanaojifanya siwezi hakuna manzi humu atafatwa na chalii anasukuma G wagen au Ferari halafu aseme hamtaki π€£!
Wenzako wanainjoi sana kuwa na dogodogoSIpendi kuwa na mwanaume niliyemzidi umri. Anizidi angalau 5yrs
Mmh π€π€,, hapana kwakweli...nikiwa na 30 labda yeye awe na 35, 36 hivi walau itakua poa ila sio nimzidi jamani πWewe na miaka yako 30 anakuja dogo ana 26 tu na anakukalisha vizuri sana.
Mwanamume kibunda tuWote wanaojifanya siwezi hakuna manzi humu atafatwa na chalii anasukuma G wagen au Ferari halafu aseme hamtaki π€£!
Nikitaja kuna watu watanikimbia hapaππππUna miaka sitini na ngap kwani sasa hivi?
Mwanamume ni mwanamume tu hata uumzidi umri miaka 5. Cha muhimu auvae ukichwa na atimize majukumu yake ya kama mume na babaMmh π€π€,, hapana kwakweli...nikiwa na 30 labda yeye awe na 35, 36 hivi walau itakua poa ila sio nimzidi jamani π
Sawa sikatai,, lakini kuna mambo mengine nitashindwa kumwambia jamani..eti awe analingana na mdogo wangu hapana kwakweli πππMwanamume ni mwanamume tu hata uumzidi umri miaka 5. Cha muhimu auvae ukichwa na atimize majukumu yake ya kama mume na baba
Utoto mwingi, siwezi kulea jamani.Wenzako wanainjoi sana kuwa na dogodogo
Huu unaitwa uhuru wa maoniπ€£ ntaiheshimu kama haki yako ya kuongea tu. Ila ukweli naujua vyema. Wanawake hawajawahi kumaanisha wasemalo kamwe π€£Mmh π€π€,, hapana kwakweli...nikiwa na 30 labda yeye awe na 35, 36 hivi walau itakua poa ila sio nimzidi jamani π
Acha wakukimbie tu Mimi sikimbii aya tajaNikitaja kuna watu watanikimbia hapaππππ
Muone πππ€£π€£π€£,, mimi kusema kweli siwezi kudate na niliyemzidi umri,,, labda itokee nakaribia menopause sijaolewaππππHuu unaitwa uhuru wa maoniπ€£ ntaiheshimu kama haki yako ya kuongea tu. Ila ukweli naujua vyema. Wanawake hawajawahi kumaanisha wasemalo kamwe π€£
Hahahah aliekwambia madogo wote wanalelewa nani. Mtu anakuja kwako akiwa well established. Ana kampuni zake ana run kama CEO. Mkwanje mrefu Dubai kama towntrips tu. π€£Utoto mwingi, siwezi kulea jamani.
Mambo gani tena hayo? πSawa sikatai,, lakini kuna mambo mengine nitashindwa kumwambia jamani..eti awe analingana na mdogo wangu hapana kwakweli πππ
Uje nikutajie pekeyako..hapa hapana kwakweli πππAcha wakukimbie tu Mimi sikimbii aya taja
Ni swala la muda tu. Umewazidi umri vijana wengi tu ila hajatokea ambaye anakuvutia. Rest assured atakugonga tu na hamna kitu utafanya. π€£Muone πππ€£π€£π€£,, mimi kusema kweli siwezi kudate na niliyemzidi umri,,, labda itokee nakaribia menopause sijaolewaππππ