Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

M enyewe simind lady alonizid umri elimu and financial . sijui umeona nini kwake. Once upon a time nlikutana na mmoja kanzidi just 4 months eti bila aibu andai nimpe shkmoo.


Sikushauri sana hayo mahusiano yatakuwa ya mama na mwanae. Utapelekewa moto mpaka ujikute houseboy
 
Ni kama mim navyokuzid wewe si ndio?
 
Mimi wakati nina miaka 27 nilikuwa na mahusiano na mama mmoja wa kirangi yeye alikuwa na miaka 49 pale mtwara mjini, kiukweli yule mama alikuwa ananipenda sana kiukweli alinifanyia mambo mengi sana wakati huo sina ramani yakueleweka town,chakushangaza alikuwa ananiamkia nilikuwa nafurahi sana
 
Kisaikolojia wanapata shida kama tuu kuwa na mwanaume waliyemzidi urefu..

Kiufupi mwanamke anajiskia vizuri akiwa chini ya mwanaume Kwa Kila kitu.
 
hongera😂

sema 49 parefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…