Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtu wa rohoni,utafiti wa kidunia wa Nini??Nini usifanye chunguzi kuhusu kunena Kwa Lugha?Je Ile ni Lugha gani?Je watu wanaielewa akizungumzwa?Je ni sahihi kuongea lugha ambayo wengine hawelewi???ni utafiti for academic purposes tu, na si vinginevyo
Hubiri injili baba hakuna wa kuzuia kazi ya Mungu. Wafate huko huko mpk wamkiri Yesu ni Bwana na mwokozi waona kwakweli wangi wapo huko na wamekimbilia huko na injili itawafwata hadi waliko pasina wasi
🤣🤣🤣🤣🤣Oooiii tutaona mengi😂😂😂 Baba mtumishi ndiko alikojua na harufu za samaki kwa wanawake huko
Tatizo ana michongo mingiHubiri injili baba hakuna wa kuzuia kazi ya Mungu. Wapate huko huko mpk wamkiri Yesu ni Bwana na mwokozi wao
😂😂😂😂 Anapiga injili banaTatizo ana michongo mingi
hiyo tafanya kwa bidii kabisa na kwa Neema ya Mungu siwezi choka wala kukata Tamaa, ntang'ang'ana nayo kwa sadaka au bila sadaka, injili ifike kule inatakikana kufika kwa wakati muafakaHubiri injili baba hakuna wa kuzuia kazi ya Mungu. Wapate huko huko mpk wamkiri Yesu ni Bwana na mwokozi wao
Ila upunguze kukagua visamaki baba mtumishi!! Sadaka zetu hizo ujue unatoa kufanya utafiti wako 😂😂😂hiyo tafanya kwa bidii kabisa na kwa Neema ya Mungu siwezi choka wala kukata Tamaa, ntang'ang'ana nayo kwa sadaka au bila sadaka, injili ifike kule inatakikana kufika kwa wakati muafaka
Nyagi kidogo kwa presentation unaondoka na 9/10 au 10 zote.Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana.
Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo..
Lakini msahiliwa huyuhuyu akitoka kwenye interview, kule ambapo lugha ya malkia ilikata sauti, akienda kutupiamo gambe kadhaa. Yaani leta kama tulivyo, round tatu hazifiki lugha ya malkia inachukua mkondo na nafasi yake inatiririka kavizuri kama vilea amezaliwa mamtoni.. One for the road kama zote...
Na hapa kwenye gambe hata yule hajaenda shule anaporomosha lugha ya malkia kwa sauti madaha ,mikogo na slangs kama zote hata kama amekunya pombe mshenzi huko mitaani..
Ni nini siri ya hii kitu gambe, mbona nyingine zimezalishwa humuhumu nchini, zingine ni za kienyeji?
hiyo ni compalsory academic requirements kujua vile mambo ya dunia inakwendaje.We mtu wa rohoni,utafiti wa kidunia wa Nini??Nini usifanye chunguzi kuhusu kunena Kwa Lugha?Je Ile ni Lugha gani?Je watu wanaielewa akizungumzwa?Je ni sahihi kuongea lugha ambayo wengine hawelewi???
nimesoma observation muungwana moja ametuma apo juu, actually si lugha ya walevi in such lakini ulevi inawachochea na kuwaongezea ujasiri wakuongea kwa kujiamini zaidi hata kama wanakosea hawachoki kuendelea kuonga...Kingereza lugha ya walevi baba mtumishi 😂😂😂
Umeua 😂😂😂😂nimesoma observation muungwana moja ametuma apo juu, actually si lugha ya walevi in such lakini ulevi inawachochea na kuwaongezea ujasiri wakuongea kwa kujiamini zaidi hata kama wanakosea hawachoki kuendelea kuonga...
mara ooh, add two here, thr and thr
mara keep change,
mara bring bills,
mara how much unadai,
One for the road n.k.
kwenye chai kimya kimya tu
Mwehu weweee!!!🤣🤣🤣🤣Strawberry lips unakunywa mpenzi unayeee 😅😅😅😅
Usikute unakunywa halafu unaanza kufanya self care shauri yako 🤣🤣🤣Mwehu weweee!!!🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo Muwe mnapiga gambe kabla ya interview ili mkiingia kwenye chumba mnatema tu kimalikiaNdugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana.
Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo..
Lakini msahiliwa huyuhuyu akitoka kwenye interview, kule ambapo lugha ya malkia ilikata sauti, akienda kutupiamo gambe kadhaa. Yaani leta kama tulivyo, round tatu hazifiki lugha ya malkia inachukua mkondo na nafasi yake inatiririka kavizuri kama vilea amezaliwa mamtoni.. One for the road kama zote...
Na hapa kwenye gambe hata yule hajaenda shule anaporomosha lugha ya malkia kwa sauti madaha ,mikogo na slangs kama zote hata kama amekunya pombe mshenzi huko mitaani..
Ni nini siri ya hii kitu gambe, mbona nyingine zimezalishwa humuhumu nchini, zingine ni za kienyeji?
nasubiri maoni ya wadau tuweze kuona na kuamua kama inafaa, msahiliwa kugonga kwanza k-vant ndogo au kisungura ndio azame kwenye usahiliKwa hiyo Muwe mnapiga gambe kabla ya interview ili mkiingia kwenye chumba mnatema tu kimalikia