Kwenye gari 15 basi gari 10 hadi 15 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume mnakwama wapi?

Mimi sizungumzii magari Maana hii ni level ya juu Sana.
Kila mtu hapo hapo alipo aangalie watu wanaopita, wanawake wengi wamejaa nguo Mpya tena special na utagundua Wanaume wengi wamejaa nguo kukuu za zamani na nyingi ni nyumba.
Tazama hapo ulipo ofsini, sokoni, dukani, hospitali, barabarani, chuoni nk
 
Wanawake wengi siku hizi wanajishughulisha na vipato wanavyo ni dalili nzuri jamii ilikua inamchukulia mwanamke kama ni kitu dhaifu lakini wakiwa nao na vipato hata kesi za mirathi zitapungua mahakamani
Hii ndiyo fact mkuu wengine naona wanatapika hovyo hovyo kwa comment na uwezo wao mdogo.
 
Wanawake wapo speed sana mkuu.

Na kama wanaume kutumika tunatumika sana au tuseme fursa zimekuwa nyingi sana kwa wanawake miaka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…