Mkuu naona kama wewe ndiyo unakurupuka.Mleta mada ungechukua Muda wako kufikiria kwa umakini kabla ya kukurupuka.
Hivi wewe hujui kama wale wanawake hizo gari wamenunuliwa na waume zao.
Acha kugeneralize.
Kweli kabisa, hususan wale ambaobwapo kwenye ajira rasmi, au walokulia familia za mabasi ya njano. Olewako ukatoke na mjasilia mali, anafuga kuku wa mayai au anapika keki, au anamiliki salon.. Bro utalia kilio cha kipekee sana.Ni kukaa kwenye position tu.
Kuna warembo wapo ambao unaweza kula nao raha bila kuhonga vitu ghali.
Hapo tupo pamoja. Kuku huchokora anachoweza kumeza. Vingine acha vipite. Uzuri wa mwanamke ni pale waliyoita takataka ikichomoka tu. Mengine ni vikolombwezo tu.Pamoja sana Mkuu. Kiufupi tujikune pale tunapoweza.
Sio ku_force.
😅😅 mkuu unakakipaji cha Senga au Bambo ndani yako.Kweli kabisa, hususan wale ambaobwapo kwenye ajira rasmi, au walokulia familia za mabasi ya njano. Olewako ukatoke na mjasilia mali, anafuga kuku wa mayai au anapika keki, au anamiliki salon.. Bro utalia kilio cha kipekee sana.
Kuna demu alifanya nimkimbie bar bila kulipa vinywaji kudadeki zake.
Alijua mwenyewe, kamkweche kangu kana engine ya 6 cylinders(2jz-Gte) ni inakula mafuta mzee. yeye anaishi wilaya tofauti na nilipo, nimeweka mchuzi kama wa 230k, nimemfata alivoona nametokea na kimkweche akahisi me ni SIMP. Akaagiza vitu vya gharama nikakausha, akasema anataka kulipia gauni on line hela haitosh nikamuongeza kama 30k, namuuliza ishu ya lodge ya karibu anadai tupigie kwanza duka gani sijui alikua analipia dryer na steemer kwaajili ya saluni yake, so alitaka nikamalize hela ilobaki, tupeleke salon then ndo nikamzagamua na hata hivo hawezi kulala. Yaani nimle kimoja asepe.😅😅 mkuu unakakipaji cha Senga au Bambo ndani yako.
Kwahiyo vipi mrembo hapo bar aliacha bondi simu au ilikuwaje mkuu? 😅
Aise noma sana Mkuu pia hongera kwa kushtuka mapema.Alijua mwenyewe, kamkweche kangu kana engine ya 6 cylinders(2jz-Gte) ni inakula mafuta mzee. yeye anaishi wilaya tofauti na nilipo, nimeweka mchuzi kama wa 230k, nimemfata alivoona nametokea na kimkweche akahisi me ni SIMP. Akaagiza vitu vya gharama nikakausha, akasema anataka kulipia gauni on line hela haitosh nikamuongeza kama 30k, namuuliza ishu ya lodge ya karibu anadai tupigie kwanza duka gani sijui alikua analipia dryer na steemer kwaajili ya saluni yake, so alitaka nikamalize hela ilobaki, tupeleke salon then ndo nikamzagamua na hata hivo hawezi kulala. Yaani nimle kimoja asepe.
Nikwamwambia usijari mrembo, ngoja niingie ATM maramoja, nikamuacha kavaa kofia yangu ya elf kumi akahisi narudi kweli. Chuma ilivowaka brake ya kwanza ni kwenye kigrocery cha mtaani kwangu. Lini nilokua nachat nae nikaweka off. So sijui kilicho mkuta.
Ndiyo maana yakuleta uzi mkuu ili tupate mawazo kama haya.Inaonekana wewe hata kumpa mkeo laki moja tuu ni kipengele.
Asilimia kubwa ya wanawake unaowaona wamefanikiwa, wanabiashara na wanamagari wanafanya hayo wakipewa na waume zao au michepuko yao. Ambao ni wanaume.
Sasa unashangaa nini mtu kuendesha gari la 10M alilopewa na mumewe?
Ni wanawake wachache sana wametoa pesa kununua gari kwa hela zap wenyewe. Wachache sana.
Na wanapenda kufuja pesa ambazo hawajatafuta wao. Wajinga kweliAise noma sana Mkuu pia hongera kwa kushtuka mapema.
Wanawake wengi wanamatatizo yakujitakia na kujiendekeza shidashida. Yani wanapenda kufuja pesa kwenye vitu ambavyo havina maana.
Na ndo maana wakitulia hela sana mpaka roh zikauma hua wanajikuta pabaya sana, mitumgo haiji kuisha kamwe🤣🤣Hawaja tafuta ndiyo maana uchungu nazo ni zero.
Wanaamini pusi zao ni kipumbazio chetu.
Ndiyo maana yakuleta uzi mkuu ili tupate mawazo kama haya.
Sasa tumejua kumbe wengi siyo yakwao wanaendesha tu.