Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Nyie mnaishi mikocheni nyumba za kurithi na kupokea kodi kila mwezi, mimi natoka home asbh sijui familia yangu itakula nini...you cant lock me down, never
Rwanda, Uganda wamelock down, wewe unakuja kujiapiza hapa NEVER!

But that is not the issue here.

The issue is the basis on which decisions were made on a new contagious disease whose veracity was unknown.

The rational thing for any leader would be to adopt the available and recommended approaches, rather than acting arbitrarily as he did.

Now, with hind-site, we can sit down and beat our chests as if we were informed well ahead of everyone!
 
Nimekumbuka hadithi ya zamani ambapo waliamua kuwaua wazee wote; lakini sungura kwa ujanja wake alimficha baba yake. Baada ya muda mfalme akapata shida , akiwa amelala ameacha mdomo wazi, nyoka akaingia moja kwa moja hadi tumboni.
Ikawa nyoka atoleweje kwenye tumbo la mfalme! Mfalme akaahidi kuwa atakayeweza atamkabidhi ufalme wa nchi ile,,,,,,
Mbona umekatisha hiyo hadithi pls endelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni WHO wanadiscourage kila dawa watu wanaojaribu kuona inafaa...will they accept our antibodies..LoL.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzii dawa ya kubahatisha kama hiyo ya Madagascar. Hapa nimeandika kuhusu wataalam wetu wawe wamejikita kufanya kazi hiyo katika taratibu zote zinazokubalika duniani, za kuweka dawa mpya sokoni.

Inawezekana sana tukiwawezesha na kuwaamini wataalam wetu kufanya kazi kama hiyo.

Tatizo tulilonalo, wengi hatujiamini kuwa tunaweza.
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!

Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.

Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy
Survival for the fittest lakini ongezea wanawake wako na kinga ya Corona kuliko wanaume.
 
Nitarudia, nitarudia na kurudia hoja yangu kwa njia ya swali:-

Jmushi, kwanza pole sana kama katika familia yako au ndugu kuna aliyeambukizwa (hata kama ni wewe) au amepoteza maisha kutokana na COVID-19. Kama hakuna, unatafuta takwimu zipi au unawaombea wasio ndugu zako waambukizwe au wafe ili pawepo na takwimu!

"Herd Iimmunity" ni suala la kisayansi kulizungumzia kisiasa ni umbumbu au wenye mlengo wa kisiasa. Hili siyo jukwaa sahihi la kulijadili.

Kwa kifupi tu mwili wa binadamu hujenga kinga pale unaposhambuliwa na maradhi kwa kuzalisha "antibody" au immunoglobulin, kwa ajili ya mfumo wa kinga, kupambana na bakteria au virusi vya magonjwa. Maradhi haya binadamu anaweza kuyapata mwinyewe au kuambukizwa na binadamu mwingine na kujenga hiyo kinga ya jumla (Herd Immunity).

Wakati bakteria huangamizwa na dawa, virusi havina dawa isipokuwa chanjo (kirusi rafiki ndani ya mwili kuuongezea "antibodies" dhidi ya kirusi hicho).

COVID-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha CORONA, ambacho kama cha HIV, hadi sasa chanjo haijapatikana. Kwa sababu kirusi kimegundulika hivi karibuni, miili ya binadamu haijaweza kujenga kinga dhidi yake. Lakini, COVID-19 hakuna shaka ni ugonjwa wa mafua makali sana kiasi cha kusababisha vifo kwa yeyote mwenye kinga ndogo. Waliougua mafua makali mwishoni mwa mwaka jana (kama mimi mwenyewe) wanajua adha na athari zake. Hivyo basi kuna uwezekano tuliougua mafua makali hayo tukawa tumejijengea kinga dhidi ya ugonjwa wowote jamii ya mafua kama COVID-19.

Sina shaka Wizara ya Afya inatambua hilo. Sina shaka wanasayansi watafiti wako kazini kutafuta jinsi sahihi ya kudhibiti kusambaa kwa maambukizi. Na mwisho, sina shaka yoyote na jinsi Rais Magufuli, mwasayansi, anavyotaka tulikabili janga hili, kwa kuwa naamini na kuheshimu umahiri wake wa sayansi ya kemia.

Hoja zingine, nje ya nilizotaja, ni za wanasiasa uchwara kutafuta umaarufu kwa kivuli cha kujali maisha ya watu huku wao wakiponda maisha.
 
Maneno mengi lakini ukweli utabaki pale pale. Hakuna binadamu anaeweza zuia kifo cha binadamu mwenzake kama muda umefika.

Lawama zako zote ni utapoteza nguvu zako bure. Ukitaka lawama zako ziwe na mashiko weka takwimu za vifo vya corona hapa Tanzania. Tofauti na hapo ni kelele tu kama zilivyo kelele nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la kusema tu kuwa eti ''hakuna binadamu anaweza kuzuia kifo cha binadamu mwenzake'' halafu tena ukasema ''binadamu ana muda wa kufa'' inaonyesha capacity ya ubongo wako iko wapi. Nchi zilizoendelea raia wake wana life span kubwa kuliko nchi zetu za dunaia ya tatu. Pia watoto chini ya miaka mitano wanaokufa nchi za dunia ya tatu ni wengi sana. Hiii ina maana watu wa nchi zinazoendelea wamepangiwa maisha mafupi, siyo. Na pia ina maana siku za kuishi za watoto wa nchi zilizoendelea nyingi zimepanga kuwa chini ya miaka mitano siyo? Wewe na huyu rais wetu akili zenu zimefanana kama sarafu ya shilingi.
 
Nitarudia, nitarudia na kurudia hoja yangu kwa njia ya swali:-

Jmushi, kwanza pole sana kama katika familia yako au ndugu kuna aliyeambukizwa (hata kama ni wewe) au amepoteza maisha kutokana na COVID-19. Kama hakuna, unatafuta takwimu zipi au unawaombea wasio ndugu zako waambukizwe au wafe ili pawepo na takwimu!

"Herd Iimmunity" ni suala la kisayansi kulizungumzia kisiasa ni umbumbu au wenye mlengo wa kisiasa. Hili siyo jukwaa sahihi la kulijadili.

Kwa kifupi tu mwili wa binadamu hujenga kinga pale unaposhambuliwa na maradhi kwa kuzalisha "antibody" au immunoglobulin, kwa ajili ya mfumo wa kinga, kupambana na bakteria au virusi vya magonjwa. Maradhi haya binadamu anaweza kuyapata mwinyewe au kuambukizwa na binadamu mwingine na kujenga hiyo kinga ya jumla (Herd Immunity).

Wakati bakteria huangamizwa na dawa, virusi havina dawa isipokuwa chanjo (kirusi rafiki ndani ya mwili kuuongezea "antibodies" dhidi ya kirusi hicho).

COVID-19 ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha CORONA, ambacho kama cha HIV, hadi sasa chanjo haijapatikana. Kwa sababu kirusi kimegundulika hivi karibuni, miili ya binadamu haijaweza kujenga kinga dhidi yake. Lakini, COVID-19 hakuna shaka ni ugonjwa wa mafua makali sana kiasi cha kusababisha vifo kwa yeyote mwenye kinga ndogo. Waliougua mafua makali mwishoni mwa mwaka jana (kama mimi mwenyewe) wanajua adha na athari zake. Hivyo basi kuna uwezekano tuliougua mafua makali hayo tukawa tumejijengea kinga dhidi ya ugonjwa wowote jamii ya mafua kama COVID-19.

Sina shaka Wizara ya Afya inatambua hilo. Sina shaka wanasayansi watafiti wako kazini kutafuta jinsi sahihi ya kudhibiti kusambaa kwa maambukizi. Na mwisho, sina shaka yoyote na jinsi Rais Magufuli, mwasayansi, anavyotaka tulikabili janga hili, kwa kuwa naamini na kuheshimu umahiri wake wa sayansi ya kemia.

Hoja zingine, nje ya nilizotaja, ni za wanasiasa uchwara kutafuta umaarufu kwa kivuli cha kujali maisha ya watu huku wao wakiponda maisha.
Utajuaje kwamba umefikia malengo ya asilimia 70 bila data?
 
Umahiri wa kukariri kilometa za barabara na wapumbavu wanashangalia! Elimu yetu ina mushkeli mkubwa sana. Imejikita kwenye kukariri na matokeao yake tunazalisha wapumbavu wanaoishi dunia yao na kupingana na wataalam.
 
Mkuu jmushi, mara nyingi huwa mvivu wa kusoama makala hizi ndefu, lakini nimeona hiyo sentensi inayohusu 'demography'; halafu nikafikiri ndiyo unayoihusisha na kichwa cha habari ya mada yako.

Nataka tu nikuulize swali juu ya uhusiano huo na maamuzi yaliyofanywa na rais.

Hivi unafikiri wakati Rais Magufuli anaamua aliyoamua kuhusu jinsi ya kuikabili coronavirus wakati huo, kilichomsukuma kufanya maamuzi hayo ni hiyo 'demography' ya population yake?

Umewahi kusikia nchi yoyote iliyofanya maamuzi kuikabili coronavirus kwa kuitegemea 'demography'?

Je, taarifa za coronavirus kushambulia wazee na watu wenye matatizo zaidi ziliwahi kufanyiwa uchunguzi popote na machapisho yake yakawepo ya kuweza kuwaongoza watu wanaofanya maamuzi kuzitumia taarifa hizo (based on scientific study and publications).

Kama uamzi aliochukua Magufuli unayategemea majibu ya ndio kwa maswali hayo, basi na mimi niweke kwenye orodha ya kumpa hongera nyingi kwa uamzi wake huo.

Vinginevyo, maamzi yake hayatofautiani na mcheza kamali; tofauti pekee iliyopo ni kuwa kamali hii iliweka rehani ya maisha ya waTanzania.

Coronavirus, bado haijulikani sababu zinazosababisha pawepo na tofauti kubwa ya mashambulizi katika nchi za kiafrika, ikiwa ni pamoja na hiyo ya 'demographics.
Nina hakika sababu zitajulikana muda si mrefu. Joto/mionzi ya jua na unyevunyevu vikiwa sehemu ya sababu hizo.

Sasa kama yeye tayari alikuwa na ufahamu wa hayo yote alipofanya uamzi, basi tunaye Rais mwenye uwezo wa ajabu sana!

Mimi ningekuwa karibu na Magufuli, ningemshauri awatumie wataalam wake wa afya wafanye utafiti wa kujua bahati yetu hii inatokana na nini, ili kama ni kitu tunachoweza kuwauzia wengine, basi biashara itanoga sana!

Sijui kama kwenye maandishi yako humo umeweka mchango mkubwa wa sala zetu kwa Mungu? Kama sababu ndiyo hiyo, pia itakuwa ni faida kwetu kwa sababu tutawafundisha dunia yote jinsi ya kuwasilisha maombi kwa Mwenyezi Mungu ili ayakubali. Sio kujisalia tu kama wao wanavyofanya. Tutawafundisha.

Au ni dawa yetu ya 'kujifukiza' na tangawizi, limao..., na nini tena?
Mkuu hakuna ajabu lolote alilogundua ninachokiona ni Nchi imesimama haina Hela na kuna uchaguzi wapi atatoa hela imebidi kuhamasisha watu warudi kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umahiri wa kukariri kilometa za barabara na wapumbavu wanashangalia! Elimu yetu ina mushkeli mkubwa sana. Imejikita kwenye kukariri na matokeao yake tunazalisha wapumbavu wanaoishi dunia yao na kupingana na wataalam.
Mh, ama kweli Akili ni nywele kila mtu ana zake na Akutukanaye hakuchagulii tusi.

Hongera kwa mtazamo wako huo maadam bado uko hai kwa janga la COVID-19. Hili WaTz wenzako nao waendelee kuwa salama twambie mbinu/njia unazotumia kudhibiti maambukizi.
 
Ina maana tangu WHO watoe njia za kujikinga wewe hujawahi kusikia?
 
Sexually active walio wengi ni vijana,na hao ndio wanawindwa na HIV,HIV inamrahisishia kazi Covid-19 .
 
Vijana sio issue, afya zao wengi mgogoro
Na wewe ni moja ya wale makasuku ambao hawalewi kabisa lengo la lockdown. Mazee soma angalau historia ya virus wanaosambaa kwa njia ya hewa kama ile Spanish Flu ili ujiongezee maarifa. Nchi zote zilizoweka lockdown lengo halikuwa ni kumaliza virus au watu wakae nadani mpaka itakapotangazwa kuwa virus wameisha, la hasha. Lockdown zinawekwa ili kufanya watu wengi wasiugue kwa wakati mmoja na hospital zikaelemewa. Na nina uhakika unajua kuwa kama siyo hizo hatua za lockdown walizochokuwa mambo yalikuwa yawe mabaya sana. Na pia unajua kuwa sasa hivi wanaondoa lock down baada ya maambukizi kupungua na hawatasita kurudisha tena lockdown kama yataongezeka tena. Na pia nikujulishe kama hujui, kuwa lengo jingine la lockdown ni kuvuta muda ili tuwajue kwa undani hawa virus na ikiwezekana tujue dawa zinazoweza kupunguza makali yake au tupate sindano za kinga. Tanzania tumepoteza watu wengi sana ambao kama tungechukuwa hatua sahihi (siyo total lockdown) wangekuwa hai mpaka sasa. Vifo vimetokea mpaka rais akaamua kuingilia upimaji na utoaji wa takwimu ili kuficha uzembe wake. Atawadanganya watu wengi lakini hawezi kuwadanganya watu wote na kwa muda wote.

sio total lockdown ndio inakuwaje genious?
 
Hili la kusema tu kuwa eti ''hakuna binadamu anaweza kuzuia kifo cha binadamu mwenzake'' halafu tena ukasema ''binadamu ana muda wa kufa'' inaonyesha capacity ya ubongo wako iko wapi. Nchi zilizoendelea raia wake wana life span kubwa kuliko nchi zetu za dunaia ya tatu. Pia watoto chini ya miaka mitano wanaokufa nchi za dunia ya tatu ni wengi sana. Hiii ina maana watu wa nchi zinazoendelea wamepangiwa maisha mafupi, siyo. Na pia ina maana siku za kuishi za watoto wa nchi zilizoendelea nyingi zimepanga kuwa chini ya miaka mitano siyo? Wewe na huyu rais wetu akili zenu zimefanana kama sarafu ya shilingi.
Asante kwa kulinganisha akili zangu na za kiongozi wa nchi ambae anaongoza watu wenye akili nyingi kama wewe.

Endelea kuamini unavyoamini ila usilazimishe kile mtu aamini na afikiri kama wewe.
Hizo nchi unazozisifia na kuziona za maana sasa na zenyewe zilipitia hali kama hii huko mwanzoni mpaka leo unazisifia na kujiona una akili kubwa.
Hapa ni jukwaa na kujadili mawazo tofauti ili kujengeana uelewa na siyo kupimana akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajuaje kwamba umefikia malengo ya asilimia 70 bila data?
Data, data, data mpaka utangaziwe? Wahusika na data (takwimu) ni wenye kutoa ushauri wa jinsi ya kukabiliana na janga la CIVID-19. Ushauri hauwezi kutolewa bila takwimu. Takwimu hazipatikani bila utafiti. Utafiti haufanyiki kwa kurupuka.

Takwimu kwa jamii siyo dawa wala chanjo ya COVID-19. Kama huendavyo hospitali humwulizi daktari takwimu za ugonjwa kama wako bali kumweleza hali ya afya yako. Unachotafuta ni tiba ya ugonjwa ulio nao.

Hivyo basi, hadi sasa tiba iliyopo, kutokana na uchambuzi wa takwimu zilizokusanywa ni huo ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, unaotolewa na wataalamu wa afya. Ni maamuzi (informed decision) wa mtu mmoja mmoja kuzingatia au la.
 
Back
Top Bottom