Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Umejifunza nini hapo? Yani solution ni kula matunda na kuzurura? Wtf is wrong with you people? Mkisikia mnachokipenda kusikia masikioni mwenu, basi mnarukia na kumfurahia mtu bila ya kushughulisha ubongo wako kuhusiana na alichokiandika!

Hii siyo caliber ya kula matango pori. Huna source ya unachozungumiza na wakati ni scientific? Mambo hayaendi hivyo! Ndo maana mnaulizwa hizo phd mlivyozipata!

Mkuu huwa hatuongei kwa jazba hivi, dharau, kejeli kwa mtu mzima mwenzio na hasa pale ambapo hauna sababu ua msingi ya kuandika uliyoyaandika, you are depressed, you are sick.Nimekudharau
 
Mkuu jmushi, mara nyingi huwa mvivu wa kusoama makala hizi ndefu, lakini nimeona hiyo sentensi inayohusu 'demography'; halafu nikafikiri ndiyo unayoihusisha na kichwa cha habari ya mada yako.

Nataka tu nikuulize swali juu ya uhusiano huo na maamuzi yaliyofanywa na rais.

Hivi unafikiri wakati Rais Magufuli anaamua aliyoamua kuhusu jinsi ya kuikabili coronavirus wakati huo, kilichomsukuma kufanya maamuzi hayo ni hiyo 'demography' ya population yake?

Umewahi kusikia nchi yoyote iliyofanya maamuzi kuikabili coronavirus kwa kuitegemea 'demography'?

Je, taarifa za coronavirus kushambulia wazee na watu wenye matatizo zaidi ziliwahi kufanyiwa uchunguzi popote na machapisho yake yakawepo ya kuweza kuwaongoza watu wanaofanya maamuzi kuzitumia taarifa hizo (based on scientific study and publications).

Kama uamzi aliochukua Magufuli unayategemea majibu ya ndio kwa maswali hayo, basi na mimi niweke kwenye orodha ya kumpa hongera nyingi kwa uamzi wake huo.

Vinginevyo, maamzi yake hayatofautiani na mcheza kamali; tofauti pekee iliyopo ni kuwa kamali hii iliweka rehani ya maisha ya waTanzania.

Coronavirus, bado haijulikani sababu zinazosababisha pawepo na tofauti kubwa ya mashambulizi katika nchi za kiafrika, ikiwa ni pamoja na hiyo ya 'demographics.
Nina hakika sababu zitajulikana muda si mrefu. Joto/mionzi ya jua na unyevunyevu vikiwa sehemu ya sababu hizo.

Sasa kama yeye tayari alikuwa na ufahamu wa hayo yote alipofanya uamzi, basi tunaye Rais mwenye uwezo wa ajabu sana!

Mimi ningekuwa karibu na Magufuli, ningemshauri awatumie wataalam wake wa afya wafanye utafiti wa kujua bahati yetu hii inatokana na nini, ili kama ni kitu tunachoweza kuwauzia wengine, basi biashara itanoga sana!

Sijui kama kwenye maandishi yako humo umeweka mchango mkubwa wa sala zetu kwa Mungu? Kama sababu ndiyo hiyo, pia itakuwa ni faida kwetu kwa sababu tutawafundisha dunia yote jinsi ya kuwasilisha maombi kwa Mwenyezi Mungu ili ayakubali. Sio kujisalia tu kama wao wanavyofanya. Tutawafundisha.

Au ni dawa yetu ya 'kujifukiza' na tangawizi, limao..., na nini tena?
We jamaa umeandika maneno ya kufikirisha sana!! Nimetambua kuna watu mnasoma na kujibu baada ya kuelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasa vijana wa dar
Tatizo kuifikia hiyo 'herd immunity' kuna gharama kubwa sana ya kulipa ambayo ni usalama wa afya na uhai wa wananchi walio wengi maana sio wazee tu wenye Kinga hafifu hata hao vijana unaowalenga wapo ambao Kinga yao ya miili haitaweza kuhimili hivi virusi, hivyo hii njia bado ni hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kulinganisha akili zangu na za kiongozi wa nchi ambae anaongoza watu wenye akili nyingi kama wewe.

Endelea kuamini unavyoamini ila usilazimishe kile mtu aamini na afikiri kama wewe.
Hizo nchi unazozisifia na kuziona za maana sasa na zenyewe zilipitia hali kama hii huko mwanzoni mpaka leo unazisifia na kujiona una akili kubwa.
Hapa ni jukwaa na kujadili mawazo tofauti ili kujengeana uelewa na siyo kupimana akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuja hapa na kuandika ujinga halafu tukubaliane na wewe. Utasemaje watu wamepangiwa siku za kuishi? Nyie ndiyo mnaposha mambo ya dini mpaka dini ikaonekana kama sehemu ya kujazana matapeli. Tunakwenda kwa hoja na kama huna hoja usikimbilie kwenye madhabahu ili uonewe huruma kama rais wako.
 
Mkuu hakuna ajabu lolote alilogundua ninachokiona ni Nchi imesimama haina Hela na kuna uchaguzi wapi atatoa hela imebidi kuhamasisha watu warudi kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejiuliza kwa nini nchi zenye utajiri kuliko Tz zinaondokana na "Lockdown" kuchukua hatua za Rais Magufuli kudhibiti maambukizi? Au huko kirusi cha korona kimesambaratishwa?
 
I am more than your so called "credible sources". You either take it and regard me as the "source" of what I wrote or you don't. Your "credible sources" is none of my business, it's your problem.

At this moment allow me to speak outside this box (discussed issue or the matter in Hand) and congratulate you ( if that is your picture ) for being natural, simple but still gorgeous. !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuja hapa na kuandika ujinga halafu tukubaliane na wewe. Utasemaje watu wamepangiwa siku za kuishi? Nyie ndiyo mnaposha mambo ya dini mpaka dini ikaonekana kama sehemu ya kujazana matapeli. Tunakwenda kwa hoja na kama huna hoja usikimbilie kwenye madhabahu ili uonewe huruma kama rais wako.
Tunatofautiana uelewa, wewe unaweza kuuona ujinga mwingine ukamsaidie. Halafu usipende kuongea kiujumla wakati ni mawazo yako. Chuki binafsi itakuumiza bure na itakufanya uzeeke kabla ya muda wako.

Wewe ndo unafuta huruma ya watu kwa kuongelea watu zaidi ya milioni hamsini wakati hayo mamlaka huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri hakuna hesabu iliyofanyika, ni uwezo mdogo wa kushughulikia majanga, kiongozi wetu hajawahi kuwa mstari wa mbele kwenye maswala haya, ni kama ana alergy, na mifano ni mingi.

Maswala ya majanga yanahitaji strategies, logistics, planning, budgeting na fikra za haraka. Pia mikutano ya mara kwa mara ambapo soft skills zinahitajika sana.

Bahati mbaya hatuna viongozi wenye hizo soft skills, ndio maana inabidi uyaache mambo yajiendee atakayepona apone atakaeondoka aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahhhhh. Nakukatalia kwa HERUFI kubwa. Tatizo letu Africa na nchi nyingi sio mipango. Nk. Bali will power ya kurealize vitu tunavyopanga. Watz. Tunajua kuandaaaaaa. Sema Sasa Hapo Mara nyingi kwa malengo ya wachache kujifaidisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahesabu ni haya;-
Hakuna fedha za kuhudumia wanannchi dhidi ya huu ugonjwa.
Amri iliyopo ni " songa mbele" atakae dondoka rip , mzima endelea kusonga mbele.. hatuwezi kufa wote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida ya kujiona much know. Unaona wenzako wote wapumbavu. Mambo ya hela wala hayapo wakati huu ndo ilikuwa wakati wa kuuza vichwa vya wtz kwa kukopa Bank na IFM.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatofautiana uelewa, wewe unaweza kuuona ujinga mwingine ukamsaidie. Halafu usipende kuongea kiujumla wakati ni mawazo yako. Chuki binafsi itakuumiza bure na itakufanya uzeeke kabla ya muda wako.

Wewe ndo unafuta huruma ya watu kwa kuongelea watu zaidi ya milioni hamsini wakati hayo mamlaka huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo unaongelea kijumla. Na mbaya zaidi unaongea ujinga mtupu. Ukiona umepingwa kwa hoja unasema ni chuki binafsi. Hizi shule za kukariri ni shida sana!
 
Mkuu huwa hatuongei kwa jazba hivi, dharau, kejeli kwa mtu mzima mwenzio na hasa pale ambapo hauna sababu ua msingi ya kuandika uliyoyaandika, you are depressed, you are sick.Nimekudharau
Sasa wewe ukinidharau ndo nitapungukiwa nini? Una akili timamu wewe?

Nimekujibu kutokana na ulivyoandika, period! Garbage in, garbage out, period!

SMF!
 



Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!


Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.



Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy
Kwenye kundi la 90% tu assume ni 40 millions. 70% inayohitajika ni 28 milioni na 30% itakayokufa ni 12 milioni... what a pitty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Data, data, data mpaka utangaziwe? Wahusika na data (takwimu) ni wenye kutoa ushauri wa jinsi ya kukabiliana na janga la CIVID-19. Ushauri hauwezi kutolewa bila takwimu. Takwimu hazipatikani bila utafiti. Utafiti haufanyiki kwa kurupuka.

Takwimu kwa jamii siyo dawa wala chanjo ya COVID-19. Kama huendavyo hospitali humwulizi daktari takwimu za ugonjwa kama wako bali kumweleza hali ya afya yako. Unachotafuta ni tiba ya ugonjwa ulio nao.

Hivyo basi, hadi sasa tiba iliyopo, kutokana na uchambuzi wa takwimu zilizokusanywa ni huo ushauri wa kujikinga dhidi ya maambukizi, unaotolewa na wataalamu wa afya. Ni maamuzi (informed decision) wa mtu mmoja mmoja kuzingatia au la.
Kwahiyo lengo la kuficha data ni nini? Hofu?
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!


Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.



Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy
Sasa hao wenye umri wa 60+ baadhi yao ni vipanga wakianza kuruka na hawa vijana warembo wakaambukizwa si ndio basi hazina ya Taifa inafutika?; Pili hao vijana lazima wataambukiza wazazi wao huoni Taifa litabaki ya YATIMA?

Hata hivyo wanaoanguka na kufa ghafla ni walio na umri chini ya miaka 45 meaning hata hao 70% wanaweza kufa wengi tuu.
 
Kwenye kundi la 90% tu assume ni 40 millions. 70% inayohitajika ni 28 milioni na 30% itakayokufa ni 12 milioni... what a pitty

Sent using Jamii Forums mobile app
I know! Mimi nimeweka hoja mezani tujadili mkuu.

Pengine ni muhimu sana tukawa na mitigation ili kuweza kupunguza idadi ya vifo. Badala ya hivi tunavyofanya sasa ambapo naona kama kuna siasa mingi.
 
Mkuu MWANAWAVITTO , asilimia 30 ni wengi sana! Lakini hiyo ni idadi inayotakiwa, inaweza kuwa juu ya hapo!

Hata asilimia 3 bado ni nyingi tu inapokuja kwenye idadi ya wananchi walioko Tanzania. Kwahiyo cha muhimu ni mitigation kuhakikisha hao asilimia 3 wanalindwa dhidi ya gonjwa hili.

Sikuwa namaanisha kuwa tusiwajali wale ambao wako kwenye higher risk mfano wazee na wenye magonjwa sugu nk., bali ni kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa ili kuweza kuwalinda!

Kwahiyo point yangu ni kwamba hao wachache tunaweza kuweka nguvu kuwalinda badala ya kujisahau kwasababu tu tuna vijana wengi.

Hata kule Sweden, wazee walipoanza kupoteza maisha zaidi, wananchi walikuja juu na wadau wengine kuhakikisha juhudi zinafanyika ili kuwalinda.
 
Back
Top Bottom