Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini,
Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo ndiyo utakuwa mwisho wa uonevu na uuaji!
 
Halafu yeye aachwe aendelee kuharibu?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Halafu yeye aachwe aendelee kuharibu?
Hakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.

Wapo watu waliopewa kazi hizo na wanalipwa hivyo wao ndiyo wawajibike.
 
Ana wawajibisha nani ACHA kujizima data
 
Tulishakubaliana kuwa anaupiga mwingi,

Hata kwenye hili la utekaji na kupotea ndugu zetu,

Apongezwe Kwa Kweli.
 
Hakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.

Wapo watu waliopewa kazi hizo na wanalipwa hivyo wao ndiyo wawajibike.
Kuna member huwa anapost gazeti gani sijui limeandikwa "Tanzania inaongoza kwa ujinga Afrika."

Ile habari sikuiamini hadi nilipokutana na comment yako.
 
Habarini,
Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo ndiyo utakuwa mwisho wa uonevu na uuaji!
Halafu yeye aachwe aendelee kuharibu?
Hakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.

Wapo watu waliopewa kazi hizo na wanalipwa hivyo wao ndiyo wawajibike.
Let me reserve my comment
 
Back
Top Bottom