HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Halafu yeye aachwe aendelee kuharibu?Habarini,
Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo ndiyo utakuwa mwisho wa uonevu na uuaji!
Hakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.Halafu yeye aachwe aendelee kuharibu?
Ana wawajibisha nani ACHA kujizima dataHakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.
Wapo watu waliopewa kazi hizo na wanalipwa hivyo wao ndiyo wawajibike.
Kuna member huwa anapost gazeti gani sijui limeandikwa "Tanzania inaongoza kwa ujinga Afrika."Hakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.
Wapo watu waliopewa kazi hizo na wanalipwa hivyo wao ndiyo wawajibike.
Halafu yeye aachwe aendelee kuharibu?Habarini,
Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo ndiyo utakuwa mwisho wa uonevu na uuaji!
Let me reserve my commentHakuna alichoharibu kabisa au unataka yeye ndiyo aingie doria,akafundishe shuleni,akatibu hospitalini,akakusanye kodi tra,akasikilize kesi mahakamni,nk.
Wapo watu waliopewa kazi hizo na wanalipwa hivyo wao ndiyo wawajibike.