Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

Injia gani hajui hata Kiswahili?

Amekazana tu BQ BQ BQ!!!
 
Makonda amekosa ethics za kitawala,anaenda tu kama gari lisilo na breki
 
Rc alichomanisha ni kuwa aongee serious na aweke manani sio mambo ya utani utani na sababu nyepesi nyepesi kama za mapenzi.
Naona hata na wewe umeona kosa lake mpaka unatafuta namna ya kuliweka sawa, haikuwa kitu personal hivyo alitakiwa kubaki kwenye mstari huo...sio kuanza kuingiza vitu ambavyo havihusiki na vinashusha utu wake
 
Upo makini Sana mkuu shikilia hapo hapo.
 
Makonda kafanya sawasawa, kampa ukweli mbele ya halaiki, yule mwanamke anaonesha ni tabia yake kujikwamua na kupata akitakaccho kwa kubana pua na kurembulia watu.

Kwenye hilo namuunga mkono Makonda 100%
 
Kama hilo linaathiri utendaji wake then due procedures zifuatwe, naona tumeelewana vizuri alipokosea Makonda kwenye uwasilishaji wake
Injinia hajui Kiswahili ndio maana hawezi kununua hata vifaa vya ujenzi.

Schedule of materials inasema hivi, yeye anakwenda kuboronga na kujinunulia vifaa anavyojua mwenyewe.

Hata Bargaining power hana. Amekazana tu na ma-BQ yake.
 
Makonda kafanya sawasawqa kampa ukweli mbele ya halaiki, yule mwanamke anaonesha ni tabia yake kujikwamua na kupata akitakaccho kwa kubana pua na kurembulia watu.

Kwenye hilo namuunga mkono Makonda 100%
Nilitarajia zaidi kutoka kwako kwenye hili, hata kama wewe ni chawa vitu vingine si vya kutetea. Hapa umeniangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…