BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Indeed.Makonda kafanya sawasawqa kampa ukweli mbele ya halaiki, yule mwanamke anaonesha ni tabia yake kujikwamua na kupata akitakaccho kwa kubana pua na kurembulia watu.
Kwenye hilo namuunga mkono Makonda 100%
Unataka nitete mwanamke aneregeza sauti mbele ya halaiki na kuongea kama mtoto mdogo? Mbona alivyopandishiwa alianza kuongea sawa.Nilitarajia zaidi kutoka kwako kwenye hili, hata kama wewe ni chawa vitu vingine si vya kutetea. Hapa umeniangusha
Kitengo hikoHakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.
Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na mila zetu.
Watu wasitake kukuza mambo.
Mtu hata kama humpendi basi usimsakizie mambo ambayo hayapo.
Kusema tu Usiongee na mimi kama mchumba wako ndio ionekane ni kosa hadi watu walishikie Bango?
Hebu tuwe serious tujikite kwenye mambo yenye tija.
Mbona nyinyi mnaiba pesa za umma na za hao hao wakina Mama na watoto hadi wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora.
Mbona nyinyi mnafanya mambo ya matusi mnatembea na watoto wadogo, wengine hadi kuwadhalilisha kingono?
Mbona nyinyi wengine mnafanya hadi vitendo vichafu hadi aibu kuvisema hapa ikiwemo Ushoga na usagaji?
Makonda Paul Piga kazi achana na hawa waganga njaa.
Yule mwanamke wa Longido, hakujua anaongea na mkuu wa mkoa ambaye ni Rais WA mkoa.Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.
Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na mila zetu.
Watu wasitake kukuza mambo.
Mtu hata kama humpendi basi usimsakizie mambo ambayo hayapo.
Kusema tu Usiongee na mimi kama mchumba wako ndio ionekane ni kosa hadi watu walishikie Bango?
Hebu tuwe serious tujikite kwenye mambo yenye tija.
Mbona nyinyi mnaiba pesa za umma na za hao hao wakina Mama na watoto hadi wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora.
Mbona nyinyi mnafanya mambo ya matusi mnatembea na watoto wadogo, wengine hadi kuwadhalilisha kingono?
Mbona nyinyi wengine mnafanya hadi vitendo vichafu hadi aibu kuvisema hapa ikiwemo Ushoga na usagaji?
Makonda Paul Piga kazi achana na hawa waganga njaa.
Sijawahi kukusifia Wala kukupongeza.Unataka nitete mwanamke aneregeza sauti mbele ya halaiki na kuongea kama mtoto mdogo? Mbona alivyopandishiwa alianza kuongea sawa.
Yule mwanamke anaonesha kazowea kujirahisisaha na usikute hata hiyo nafasi aliipata kwa kugawa rushwa ya mwili wake. Anaonesha ni moefu wa ulaghai.
Mwehu weweHakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.
Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na mila zetu.
Watu wasitake kukuza mambo.
Mtu hata kama humpendi basi usimsakizie mambo ambayo hayapo.
Kusema tu Usiongee na mimi kama mchumba wako ndio ionekane ni kosa hadi watu walishikie Bango?
Hebu tuwe serious tujikite kwenye mambo yenye tija.
Mbona nyinyi mnaiba pesa za umma na za hao hao wakina Mama na watoto hadi wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora.
Mbona nyinyi mnafanya mambo ya matusi mnatembea na watoto wadogo, wengine hadi kuwadhalilisha kingono?
Mbona nyinyi wengine mnafanya hadi vitendo vichafu hadi aibu kuvisema hapa ikiwemo Ushoga na usagaji?
Makonda Paul Piga kazi achana na hawa waganga njaa.
Ni wapi yule dada aliweka utani? au ni wapi aliongea mambo ya mapenzi? alimwambia aongeze sauti kila dada akitaka kuanza kuongea anamchomekea maneno dada wa watu akawa anazidi kupata fedheha na ilisababishwa na yeye rc....unashadadia sabau si ndugu yako, angekuwa mamako, dadako au mkeo ungekaza mishipa ivo kutetea ukandamizaji ule?Rc alichomanisha ni kuwa aongee serious na aweke manani sio mambo ya utani utani na sababu nyepesi nyepesi kama za mapenzi.
Acha kutetea ujinga, kusema "usiongee na mimi kama unaongea na mchumba wako, kwanza nina mke mzuri sana" ni udhalilishaji wa hali ya juu mno na ingekuwa nchi ya waliostaarabika huyo mtu asingekuwa mkuu wa mkoa mpaka muda huu. Issues za uchumba na uzuri ni binafsi sana na hazihusiani hata kidogo na majukumu ya yule dada. Utetezi wako unakuanika tu, unaonekana hujastaarabika kama huyo unayemtetea.Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.
Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na mila zetu.
Watu wasitake kukuza mambo.
Mtu hata kama humpendi basi usimsakizie mambo ambayo hayapo.
Kusema tu Usiongee na mimi kama mchumba wako ndio ionekane ni kosa hadi watu walishikie Bango?
Hebu tuwe serious tujikite kwenye mambo yenye tija.
Mbona nyinyi mnaiba pesa za umma na za hao hao wakina Mama na watoto hadi wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora.
Mbona nyinyi mnafanya mambo ya matusi mnatembea na watoto wadogo, wengine hadi kuwadhalilisha kingono?
Mbona nyinyi wengine mnafanya hadi vitendo vichafu hadi aibu kuvisema hapa ikiwemo Ushoga na usagaji?
Makonda Paul Piga kazi achana na hawa waganga njaa.
You are a stereotypical keyboard warrior without two braincells to rub together. You are the idiot without any common sense. .Aisee, huko kichwani una kitu kweli? Kwakuwa wengi wanafanya basi linafanya jambo hilo kuwa sahihi/halali? Kiongozi/bosi wake anatakiwa kuwasiliana hivyo na mtu wa chini yake tena worse publicly?
Unahitaji kujielimisha na kuelimisha wote kukomesha vitendo hivi sio tu kwa wanawake bali hata wanaume, kila mtu ana haki ya kuwa treated with respect
Sikuupata u-Miss JF 2023/2024 kwa kubania mtu pua.Sijawahi kukusifia Wala kukupongeza.
Leo ninakupongezaš
Kwa akili yako kidogo uliona kuna viashiria vya yule dada kumtaka Makonda au kuonesha ishara za mapenzi? Kwamba mtu kutosogeza maiki mdomoni ndo ishara za mapenzi!? Tumia akili hata kidogo tuRc alichomanisha ni kuwa aongee serious na aweke manani sio mambo ya utani utani na sababu nyepesi nyepesi kama za mapenzi.
Nilichogundua, WaTZ ni wajinga na wafuata mkumbo.Acha kutetea ujinga, kusema "usiongee na mimi kama unaongea na mchumba wako, kwanza nina mke mzuri sana" ni udhalilishaji wa hali ya juu mno na ingekuwa nchi ya waliostaarabika huyo mtu asingekuwa mkuu wa mkoa mpaka muda huu. Issues za uchumba na uzuri ni binafsi sana na hazihusiani hata kidogo na majukumu ya yule dada. Utetezi wako unakuanika tu, unaonekana hujastaarabika kama huyo unayemtetea.
Yaani hadi inashangazaNilichogundua, WaTZ ni wajinga na wafuata mkumbo.
Ulifanya analysis ya hiyo sentesi, utakuja nanhitimisho kua ni Udhalilishaji??.
Hujawah msifia Mkeo/ Mpenzio machoniwa watu ??.
Mule Bungeni wangapi Huwa wanawasifia Wake zao au waume zao??.
Kwa ujinga wako na uelewa finyu uloujaza kichwan.Kwa akili yako kidogo uliona kuna viashiria vya yule dada kumtaka Makonda au kuonesha ishara za mapenzi? Kwamba mtu kutosogeza maiki mdomoni ndo ishara za mapenzi!? Tumia akili hata kidogo tu
BQ ndo nini!? Kama makonda ana watetezi wa aina hii basi anapoteza hela zake bure!Injinia hajui Kiswahili ndio maana hawezi kununua hata vifaa vya ujenzi.
Schedule of materials inasema hivi, yeye anakwenda kuboronga na kujinunulia vifaa anavyojua mwenyewe.
Hata Bargaining power hana. Amekazana tu na ma-BQ yake.
Unajua kazi za mkuu wa mkoa? Unajua kazi za RAS? unazijua kazi za DC? unajua kazi za DAS? Unajua kazi za DED? na unajua kazi za DRHO? unajua kazi za mahakama?Natamani samia anipe ukuu wa mkoa niwaadabishe wazembe mpaka wanyooke kama rula.
Ni kuwacharaza bakora kweli kweli.