Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

Wewe unayeona tatizo onesha ni lipi hapo?
 
PUNGUZA UJINGA WA KUTETEA UJINGA
 

Mleta mada ana upimbi wa kutosha
 
Hakika mkuu, na ukiona mtu anashikia bango sana ujue ndio yeye aliyekuwa anataka kumchumbia mkuu wetu wa mkoa 🤣🤣🤣😂😔. Makonda piga kazi, ile ile mpaka boss wako aone aibu.
 
Ulaaniwe kwa kushuhudia uongo/kwa kumnena mwenzako sifa mbaya
 
Kiongozi serikalini unayemuwakilisha rais lazima ujue kauli za kuongea mbele za watu!! Kauli za makonda ni za kejeli,za hovyo na zisizo na maadili kwa kiongozi wa kiwango alichopo!!
Yeye hajawahi kudanganya? Je, aliitwa muongo hadharani? Yeye huwa hakosei? Je,hutukanwa hadharani na viongozi wake pale anapokosea??
Ninashangaa kiongozi anayejinasibu na 4R anawezaje kuchagua mtu kama huyu kumuwakilisha kwenye mkoa mkubwa wakitalii!!! Labda nichuki za kaskazini zinaendelea siajabu sabaya akapewa mkoa wa KLM...
Naichukia sana hii serikali!!
 
Msio na akili mnaonekana kwa uwazi kabisa kuna tofauti sana maneno kuongelewa na na kiongozi mbele ya umati na kuongea vijiweni , watanzania wenye akili wanazidi kupungua wanabaki watanzania wenye ufinyu wa akili kabisaa na wewe ni mmoja wao
 
Rc alichomanisha ni kuwa aongee serious na aweke manani sio mambo ya utani utani na sababu nyepesi nyepesi kama za mapenzi.
Hiyo ni tafsiri yako wewe, clip wote tumeiona na kafanya ujinga ulio pitiliza ana majivuno sana na ulevi wa madaraka ndio kilemq chake , sijawahi kumkubali makonda hata mara moja
 
Kinana na chatanda wanatumika kumtengenezea makonda ajali ya kisiasa.

Mwenyekiti wa chama ambaye ni Rais ,ina maana alimteua mtu wa kuja kutishiwa akiwa anafanya majukumu yake!
 
ni kwasababu mnafanana akili na elimu ndugu. sio kosa lako.
 
Aliyewahi kutembelea Hospital ya Longido ajitokeze hapa....Alafu atuambie aliyejenga alikuwa Ni mtaalamu wa ujenzi au Ni shule ya ufundi waliitwa wajifunzie pale?
 
Aliyewahi kutembelea Hospital ya Longido ajitokeze hapa....Alafu atuambie aliyejenga alikuwa Ni mtaalamu wa ujenzi au Ni shule ya ufundi waliitwa wajifunzie pale?
Miradi inakuwa ya kisiasa. Longido ifike timu ya ERB kukagua huo mradi
 
Kama na wewe una asili ya udhalilishaji au una hiyo hulka huwezi kuona. Haya mambo kuona na kuelewa vizuri mpaka uwe na akili timamu (uwe sober).
 
Wakosoaji wa Makonda wengi ni wajinga wajinga na hawamuwezi kwa lolote. Bahati mbaya nayeye keshajua hawamuwezi.
 
Makonda anang'aa sana
 
Awamu ya Magufuli alidhalilisha sana wanawake ila hakuna aliyethubutu kuropoka

View: https://www.instagram.com/reel/C7ZlwXaq5Jp/?igsh=cnYybGdvNWVuNG4=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…