Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

Hayo yangefwatwa labda Magu angekuwepo, who knows?
 
Huwezi kupigana na Yale maelekezo na kazi serikali inayokutuma halafu ukaendelea kutumika
Wenye akili huacha kazi kwasababu ya kutokukubaliana na serikali. Sasa wewe unataka kazi halafu unaipinga so mababu haya
Inanikumbusha Dr. Ndugulile wakati ule wa Magufuli akiwa naibu waziri wa afya. Inasemekana hakukubaliana na namna serikali inakabiliana na Covid 19, akaamua kujiengua. Japokua "sisi" tulichorewa mchoro ionekane kama ametumbuliwa.
 
Inanikumbusha Dr. Ndugulile wakati ule wa Magufuli akiwa naibu waziri wa afya. Inasemekana hakukubaliana na namna serikali inakabiliana na Covid 19, akaamua kujiengua. Japokua "sisi" tulichorewa mchoro ionekane kama ametumbuliwa.
Angejiengua asingekuja tena kumteua tena kwa kumoa uwaziri kabisa
 
Mama anazingua, huyo Angela Kairuki alikwishashindwa utendaji muda mrefu lakini leo eti anamrudisha madarakani. Safu ya wapigaji
Mkuu, kuhusu hili linalolalamikiwa na wengi juu ya kurudia rudia majina yaleyale kwenye teuzi, nadhani tukubali kwamba nchi haiandai "watu wazuri wa kutosha wanaoteulika".

Viongozi wanajikuta wanalazimika kurudiarudia walewale.
 
Mapenzi makubwa aliyonayo huyu mama kwa Zanzibar yataiumiza sana Tanganyika kiuchumi!
 
Kafie mbali huko
 
Kama kamrejesha kairuki basi tumeishiwa watu wa kutuongoza. Mtu aliyefeli wizara zote
 
Nchi ilishaingia kwenye mfumo wa tengua na kuteua,

Hii hufanywa makusudi Ili kuwatisha wateule kutii hata ambacho sio sawa,
 
Mulamula alijimwambafai kwenda kuonana na Biden na kuisaliti nchi
Tatizo ubongo siyo kama engine oil unaweza badilisha vinginevyo ungeweka ubongo mpya.Huu unaokuambia waziri kukutana na Biden ni kuisaliti nchi ni sawa na umejaza oil chafu kichwani 💩💩💩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…