kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Hapo sasa..Amekua akimnanga jpm kwa kumpiga vijembe na amewarudisha wengi jpm aliwatema.Mbona yeye, Wiki Kadhaa baada ya Mwendazake, alizunguka kumnanga mpaka Leo hii?.
Atulie !!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa..Amekua akimnanga jpm kwa kumpiga vijembe na amewarudisha wengi jpm aliwatema.Mbona yeye, Wiki Kadhaa baada ya Mwendazake, alizunguka kumnanga mpaka Leo hii?.
Atulie !!.
Unaporopoka bila kufikiri na ukajiona uko sawa.Dikteta alivuruga Nchi, acha mama aweke Mambo sawa,
Nyie misukule ya dikteta mkafie mbele huko
Inanikumbusha Dr. Ndugulile wakati ule wa Magufuli akiwa naibu waziri wa afya. Inasemekana hakukubaliana na namna serikali inakabiliana na Covid 19, akaamua kujiengua. Japokua "sisi" tulichorewa mchoro ionekane kama ametumbuliwa.Huwezi kupigana na Yale maelekezo na kazi serikali inayokutuma halafu ukaendelea kutumika
Wenye akili huacha kazi kwasababu ya kutokukubaliana na serikali. Sasa wewe unataka kazi halafu unaipinga so mababu haya
Labda hakuwa sehemu ya serikali.Mbona yeye, Wiki Kadhaa baada ya Mwendazake, alizunguka kumnanga mpaka Leo hii?.
Atulie !!.
Angejiengua asingekuja tena kumteua tena kwa kumoa uwaziri kabisaInanikumbusha Dr. Ndugulile wakati ule wa Magufuli akiwa naibu waziri wa afya. Inasemekana hakukubaliana na namna serikali inakabiliana na Covid 19, akaamua kujiengua. Japokua "sisi" tulichorewa mchoro ionekane kama ametumbuliwa.
Mkuu, kuhusu hili linalolalamikiwa na wengi juu ya kurudia rudia majina yaleyale kwenye teuzi, nadhani tukubali kwamba nchi haiandai "watu wazuri wa kutosha wanaoteulika".Mama anazingua, huyo Angela Kairuki alikwishashindwa utendaji muda mrefu lakini leo eti anamrudisha madarakani. Safu ya wapigaji
Mapenzi makubwa aliyonayo huyu mama kwa Zanzibar yataiumiza sana Tanganyika kiuchumi!Ukisikiliza kwa makini suala linaihusu Zanzibar. Msisitizo haupo kwenye kufanya maamuzi kama collective body. Msisitizo upo kwenye hii ni nchi yenye muungano wa serikali mbili. Zote zipo sawa. Suala hapo kuna maslahi ya Watanganyika yapo rehani. Hili koti kuna siku litakua gumu mno kulivaa.
Cha msingi atumikie Nchi yakeOkay, lakini ni demotion, yeye alikua mkuu wa mabalozi wote. Leo anapewa "kijiwe kimoja tu", Sweden?
Tusubiri.
Mbona magufuli wenu alikuwa anaipenda Sana kwao chato? Sisi tulilalamika mkaishia kusema hata chato Ni sehemu ya Tanzania, kwahiyo muacheni Samia apende kwao, maana hii Ni serikali ya muunganoMapenzi makubwa aliyonayo huyu mama kwa Zanzibar yataiumiza sana Tanganyika kiuchumi!
Kafie mbali hukoUkisikiliza kwa makini suala linaihusu Zanzibar. Msisitizo haupo kwenye kufanya maamuzi kama collective body. Msisitizo upo kwenye hii ni nchi yenye muungano wa serikali mbili. Zote zipo sawa. Suala hapo kuna maslahi ya Watanganyika yapo rehani. Hili koti kuna siku litakua gumu mno kulivaa.
Dikteta pia alizidisha mapenzi na kwaoMapenzi makubwa aliyonayo huyu mama kwa Zanzibar yataiumiza sana Tanganyika kiuchumi!
Nchi ilishaingia kwenye mfumo wa tengua na kuteua,Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.
Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo:
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
2. Wazingatie kutunza siri.
3. Kutii mamlaka iliyo juu yao kiutendaji na pia kuiishi dhana ya uwajibikaji wa pamoja (lililokubaliwa na serikali, basi limekubaliwa na wote waliomo serikalini). Asiwepo wa "kujitoa" au "kujiweka pembeni" na maamuzi hayo wakati mtu huyo nae ni sehemu ya hiyo serikali.
Kwa maneno na nasaha hizo za Mh. Rais, je kilichomuondoa balozi Mulamula kwenye nafasi yake ni kutokuyatekeleza hayo (insubordination)?
Bro it didn't have to reach here. Did it?Kafie mbali huko
Tatizo ubongo siyo kama engine oil unaweza badilisha vinginevyo ungeweka ubongo mpya.Huu unaokuambia waziri kukutana na Biden ni kuisaliti nchi ni sawa na umejaza oil chafu kichwani 💩💩💩Mulamula alijimwambafai kwenda kuonana na Biden na kuisaliti nchi
Na hiyo wizara haiwezi huyo mama...muda utaongeaMulamula anapewa ubalozi Sweden