Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

Kwa hiyo Samia anahusika na utekaji na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na Magufuli?
 
JK alikuwa mvumulivu na mwenye subira sana otherwise angefukuza mawaziri wengi

imagine Waziri Sofia Simba na Balozi Chikawe dakika za mwisho na ile pressure pressure ya Lowassa lakin alibaki mtulivu
 
Kwa dhana ya uwajibikaji wa pamoja tuambiwe ni nani aliyeifunga nchi hata mwingine adai anaifungua wakati serikali yao na ilani waliyokuwa wanaitekeleza ni moja? Tuongee mengine lakini hii dhana ya uwajibikaji wa pamoja bongo haipo!! Ikiongelewa tozo anatupiwa zigo Mwigulu Nchemba, wengine wanakaa pembeni na mwingine anajifanya kuwatetea wananchi!! Ikiongelewa ukatikaji wa umeme anatupiwa zigo Makamba!! Kwa sasa bandari ya bagamoyo inashika kasi na zigo la kukwamisha anatupiwa mwendazake! Hii ndio bongo, kila kitu ni movie!
 
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
yeye anaongoza kuvunja Katiba na sheria. Halima Mdee na wenzake wanafanya nini bungeni? Huyu mama kumbe hajitambui!
 
Hivi hizo siri wanazotaka zitunzwe ni zipi?.kwamba sisi wananchi hatutakiwi kuzijua?Au ndiyo mikataba ya kifisadi?
 
Insubordination doesn't refer to all those stuffs.
 
Uteuzi sawa,
CCM sawa.
Ila kwa nini ni walewale?.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…