MmmmmhhThe Mama's country!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmmhhThe Mama's country!
Nchi ilishaingia kwenye mfumo wa tengua na kuteua,
Hii hufanywa makusudi Ili kuwatisha wateule kutii hata ambacho sio sawa,
Mh. Raisi angetumbua hawa wa Tanesco na maji hivi vitu vimekuwa ni kero kubwa sasa hivi.
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Ana wanyonge wake huyu Samia. Kuna wengine hawezi kabisa wagusa hata waboronge vipi yaani.Kuhusu tanesco hata ulalamike utoke damu hawezi kutolewa
Kwa hiyo Samia anahusika na utekaji na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na Magufuli?Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.
Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo:
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
2. Wazingatie kutunza siri.
3. Kutii mamlaka iliyo juu yao kiutendaji na pia kuiishi dhana ya uwajibikaji wa pamoja (lililokubaliwa na serikali, basi limekubaliwa na wote waliomo serikalini). Asiwepo wa "kujitoa" au "kujiweka pembeni" na maamuzi hayo wakati mtu huyo nae ni sehemu ya hiyo serikali.
Kwa maneno na nasaha hizo za Mh. Rais, je kilichomuondoa balozi Mulamula kwenye nafasi yake ni kutokuyatekeleza hayo (insubordination)?
Sasa kumnanga ndio insarbonation?Mbona yeye, Wiki Kadhaa baada ya Mwendazake, alizunguka kumnanga mpaka Leo hii?.
Atulie !!.
Kama nani?Ana wanyonge wake huyu Samia. Kuna wengine hawezi kabisa wagusa hata waboronge vipi yaani.
Hii kitu inaumiza sana utadhani hakuna wtz wengine wanaoweza hiyo kazi!!??Mama anazingua, huyo Angela Kairuki alikwishashindwa utendaji muda mrefu lakini leo eti anamrudisha madarakani. Safu ya wapigaji
Kwa dhana ya uwajibikaji wa pamoja tuambiwe ni nani aliyeifunga nchi hata mwingine adai anaifungua wakati serikali yao na ilani waliyokuwa wanaitekeleza ni moja? Tuongee mengine lakini hii dhana ya uwajibikaji wa pamoja bongo haipo!! Ikiongelewa tozo anatupiwa zigo Mwigulu Nchemba, wengine wanakaa pembeni na mwingine anajifanya kuwatetea wananchi!! Ikiongelewa ukatikaji wa umeme anatupiwa zigo Makamba!! Kwa sasa bandari ya bagamoyo inashika kasi na zigo la kukwamisha anatupiwa mwendazake! Hii ndio bongo, kila kitu ni movie!Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.
Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo:
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
2. Wazingatie kutunza siri.
3. Kutii mamlaka iliyo juu yao kiutendaji na pia kuiishi dhana ya uwajibikaji wa pamoja (lililokubaliwa na serikali, basi limekubaliwa na wote waliomo serikalini). Asiwepo wa "kujitoa" au "kujiweka pembeni" na maamuzi hayo wakati mtu huyo nae ni sehemu ya hiyo serikali.
Kwa maneno na nasaha hizo za Mh. Rais, je kilichomuondoa balozi Mulamula kwenye nafasi yake ni kutokuyatekeleza hayo (insubordination)?
Kwani hujuwi yupo juu ya sheria?Mbona yeye, Wiki Kadhaa baada ya Mwendazake, alizunguka kumnanga mpaka Leo hii?.
Atulie !!.
yeye anaongoza kuvunja Katiba na sheria. Halima Mdee na wenzake wanafanya nini bungeni? Huyu mama kumbe hajitambui!1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
Collective responsibilityHii nayo ni sehemu ya hii mada mkuu ?
Insubordination doesn't refer to all those stuffs.Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.
Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo:
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
2. Wazingatie kutunza siri.
3. Kutii mamlaka iliyo juu yao kiutendaji na pia kuiishi dhana ya uwajibikaji wa pamoja (lililokubaliwa na serikali, basi limekubaliwa na wote waliomo serikalini). Asiwepo wa "kujitoa" au "kujiweka pembeni" na maamuzi hayo wakati mtu huyo nae ni sehemu ya hiyo serikali.
Kwa maneno na nasaha hizo za Mh. Rais, je kilichomuondoa balozi Mulamula kwenye nafasi yake ni kutokuyatekeleza hayo (insubordination)?
Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.