CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Hakuna what do you do. Yaani unakutana na mtu tu unamuuliza neno what di you do... NoKumbuka ni 'what' na sio 'how'
Sio kweli. Swali lingelikuwa hivi; What are yu doing? Lakini kwa swali lake, kiswahili ni; Unafanyaga shughuli gani?
Yeah unafanya kazi/shughurani Kama chanzo chako Cha mapato kuendesha maisha yako....Safi kabisa, namaliza ubishi wa kipumbavu huku!
"How do you do"? Nijuavyo mimi ni salamu.Katika mabishano yetu, huyu hakuwa akimaanisha kinachofanyika kwa mwendelezo bali mara moja, na akawa anatumia "how do you do"
Na "what did you do"?Sasa mbona nilivyouliza "what have you done" kwa kiswahili umejibu " hivi - "Ulifanyaje/ulifanya nini"? Halafu sasa hivi unakiri kwamba "what have you done" ni "umefanya nini"?
Mkuu hapo umemaliza kabisa, watu wanataka kutumia kiingereza Cha darasani kutafsiri hizo phrase......Wewe sasa ndio unapotosha. Kwa faida yako na wengine HOW DO YOU DO? ni SALAMU(VERY FORMAL) ambayo jibu lake utashangaa kusikia ni hio hio HOW DO YOU DO? Kiingereza cha shule hutajua hio.
Kwahio ukikutana na Mwingereza mka-shake hands huku anakuuliza HOW DO YOU DO? Mjibu hivyo hivyo HOW DO YOU DO?
I meant 'what' ila nimejichanganya na kuweka 'how'"How do you do"? Nijuavyo mimi ni salamu.
What do you do maana yake HABARI ZA SIKU NYINGI. Salamu hii unampa mtu ambaye hamjaonana muda mrefu
Naomba kufahamu
Ni kweli lakini sometimes hukiukwa katika spoken English. Mfano watu huzoea kusema Bye Bye ambayo ni sawa na kusema Kwa Kwa na haina maana yoyote hivi ni lazima ikamilike kwa kusema goodbyeLakini "what do u do" inatakiwa iandamane na "for a living" ikamilike.. ukiiacha hivyo inabaki tungo tata.. maana present tense ni "doing", so kama ukimuuliza mtu anafanya nini = what r u doing.. Accordin to my ngumbaru hiyo[emoji3][emoji3]
kwan sentens mbili haziwezi kuwa na maana moja?Na " what are you doing?" Utasemaje?
doing (unaniuliza nafanya nini saiz- present tense)Na " what are you doing?" Utasemaje?
Vipi hali yako /wajisikiaje?Naomba kufahamu
hajui kama wewe na kingereza ni samaki na maji!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Exactly my point, kuna mtu alikuwa ananibishia hapa hivyo nataka nimuonyesh huu uzi. Nimemwambia hiyo ni sawa na kusema "unafanya kazi gani?", yeye anang'ang'ania kusema kwamba ni "unafanya nini?", nimesikia hasira hadi nimeanzisha uzi nimuonyeshe, maana tumebishana lisaa lizima, yeye hataki kukubali n mimi sitaki kukubali kwa sababu nafahamu i am right!
huyo atakua kasoma st kayumba!Yeye alisema "what do you do" kumaanisha kitu alichokifanya mtu muda huo, ndio nikamrekebisha, basi ikawa nongwa, acha tu
Jamani tuacheni uzushi au kukisia bila kuwa na hakika na jambo. Bye-bye haina uhusiano na kwa-kwa kama ulivyosema na pia haihusiani na maneno by by ambayo ndiyo tungeweza kuyatafsiri kwa kiswahili kama kwa kwa. Etymologically bye-bye imetokana na ongeaji ya watoto badala ya kutamka neno kamili goodbye wao wakazoea kusema kwa kifupi bye-bye (na siyo by-by) hatimaye ikaja kuzoeleka hata kwa wakubwa kufupisha hivyo hadi hii leo.Ni kweli lakini sometimes hukiukwa katika spoken English. Mfano watu huzoea kusema Bye Bye ambayo ni sawa na kusema Kwa Kwa na haina maana yoyote hivi ni lazima ikamilike kwa kusema goodbye
Hata ukisema Morning ni kukatisha tu na unaeleweka bali umesema asubuhi na kimsingi hujasalimia hadi ukisema Godmorning