Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

Hiyo maana yake punguza shobo au kwa kitaalamu unaweza kuita BALANCE DIET
 
Kuanza kuumiza kichwa kisa mtu hajapokea simu ndo utoto wenyewe,mtu hajibu wala kupokea simu si ufute namba?
Wengine wanapenda mpaka uwahangaikie ili wasionekane warahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…