To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Tulia na mkeoUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia na mkeoUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
Na nyie mnaojipitisha pitisha mnatutamanishaTulia na mkeo
Sawa mkuuNa nyie mnaojipitisha pitisha mnatutamanisha
Ngoja kwanza tuonje kibuyu cha asalisimu yake itakuwa outdated fanya kumnunulia iphone mpyaaaa uone kama hatojibu
Itabidi kuyalazimisha yawe na muongozoIna maana ya kwamba hayanaga muongozo...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Itabidi kuyalazimisha yawe na muongozo
Tunabanana hapa hapa, hatoki mtuImetoka hiyo 😂
😂😂😂Umeachwaa kubaliiii
Amekuacha weeee, umeachwa kubaliiii 🎼🎶
Kuna uzi umeleta MMU kuhusu mambo ya kufanya ili mwanamke akung'ang'anie.Unampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
😀 😀 😀 hajaingia bado kwenye hudumaKuna uzi umeleta MMU kuhusu mambo ya kufanya ili mwanamke akung'ang'anie.
Kweli nobody can stop Reggae
Anajiweka expensive, si unajua watoto wakileo?Huenda simu imeibiwa au mwenye simu yupo icu
Mtoto wa elfu 2 na anakusumbua?Anajiweka expensive, si unajua watoto wakileo?
ni afisa fulani hivi 😀Mtoto wa elfu 2 na anakusumbua?
Inaamanisha 3 bilaUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
Haina maan yoyoteUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?