Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

Huna hela watu hawana shida yakula chipsi yai ,au nguo watu wanataka marange ,nyumba za kuishi sio unaleta mbamba zako
Sasa kama wazazi wako wameshindwa kukununulia, ndio uje unibebeshe mzigo usiobebeka?
 
Komaa sasa! [emoji848]

Mimi mwenyewe nna single maza la kihindi na kiarabuarabu nalifukuzia..., linauza duka Postal.

Nali-set hapa najifanya kujali... mara ooh! Pole na kazi, umeamkaje, mtoto anaendeleaje....

najifanya najali lijae kwenye line nikalilambe asali. Naamini kitatiki maana tunaenda sawa.

Nakuombea mwanangu equation na wewe kitiki! Tuseme aameen! [emoji23][emoji1487][emoji1474]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ndo tabia zako?? Jf inanichekeshaga sana na member wake
 
Back
Top Bottom