Tulia na mkeoUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
Na nyie mnaojipitisha pitisha mnatutamanishaTulia na mkeo
Sawa mkuuNa nyie mnaojipitisha pitisha mnatutamanisha
Ngoja kwanza tuonje kibuyu cha asalisimu yake itakuwa outdated fanya kumnunulia iphone mpyaaaa uone kama hatojibu
Itabidi kuyalazimisha yawe na muongozoIna maana ya kwamba hayanaga muongozo...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Itabidi kuyalazimisha yawe na muongozo
Tunabanana hapa hapa, hatoki mtuImetoka hiyo π
πππUmeachwaa kubaliiii
Amekuacha weeee, umeachwa kubaliiii πΌπΆ
Kuna uzi umeleta MMU kuhusu mambo ya kufanya ili mwanamke akung'ang'anie.Unampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
π π π hajaingia bado kwenye hudumaKuna uzi umeleta MMU kuhusu mambo ya kufanya ili mwanamke akung'ang'anie.
Kweli nobody can stop Reggae
Anajiweka expensive, si unajua watoto wakileo?Huenda simu imeibiwa au mwenye simu yupo icu
Mtoto wa elfu 2 na anakusumbua?Anajiweka expensive, si unajua watoto wakileo?
ni afisa fulani hivi πMtoto wa elfu 2 na anakusumbua?
Inaamanisha 3 bilaUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?
ππππ
Haina maan yoyoteUnampigia simu, hapokei.
Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu
Hii inamaanisha nini wakuu?