Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

Naenda naye pole pole, najua ipo siku atasema yes πŸ˜€
Komaa sasa! πŸ€”

Mimi mwenyewe nna single maza la kihindi na kiarabuarabu nalifukuzia..., linauza duka Postal.

Nali-set hapa najifanya kujali... mara ooh! Pole na kazi, umeamkaje, mtoto anaendeleaje....

najifanya najali lijae kwenye line nikalilambe asali. Naamini kitatiki maana tunaenda sawa.

Nakuombea mwanangu equation na wewe kitiki! Tuseme aameen! πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Unaufahamu ule wimbo, unaoimba; 'kila mtu atauchukua, mzigo wake mwenyewe...'? πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…