Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

Huna hela watu hawana shida yakula chipsi yai ,au nguo watu wanataka marange ,nyumba za kuishi sio unaleta mbamba zako
Sasa kama wazazi wako wameshindwa kukununulia, ndio uje unibebeshe mzigo usiobebeka?
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ndo tabia zako?? Jf inanichekeshaga sana na member wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…