Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Hao ni wazee wale walio kuja na mama kutoka kizimkazi...πŸ˜‚
Anyways, hiyo pweza anapatikana sana nyakati za jioni pape 4 Ways Bar kwa nje, njia panda ya kuelekea nala na Nkuhungu kama unatokea mjini
🀣🀣🀣🀣🀣Kumbe ipo pale?Sasa inakuwaje unaniambua huijui kumbe unajua Hadi inapopatikana jirani yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…