Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Kwenye mapenzi hili jambo ni kawaida au ndiyo tatizo?

Hebu mshauri kwanza mwanaume mwenzio hili tatizo lake naona ana mbegu nyepesi sana
Mbegu kuwa nyepesi ina sababu nyingi.
Kula hovyo I mean kukumbatia kei kila mara au zimepungukiwa virutubisho muhimu
 
Vijana hamna siri kabisa, unagegeda demu wako halafu unakuja kusimulia public, kama ni hivyo usiishie JF tu chukua kipaza sauti upite pale kariakoo utangaze unavyo mgegeda demu wako.
 
Vijana hamna siri kabisa, unagegeda demu wako halafu unakuja kusimulia public, kama ni hivyo usiishie JF tu chukua kipaza sauti upite pale kariakoo utangaze unavyo mgegeda demu wako.
Kwani mnafahamiana?.
Hapa sio public tuko gizani kabisa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unanifurahisha sana,,Kweli Dunia duara....Mimi aliniacha Kwa mbwebwe Sasa kakutana na kisikia Cha mpingo..mndewa Glenn pole yako
Kuna mndewa mpya kule ametupia na picha muwahi kabla mashangazi hawajamdaka
 
Back
Top Bottom