Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.
Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa style ileile ya tatu mzuka na Biko, sasa swali langu hiki kinachofanywa na Bakwata ni sahihi kidini?
Karibuni, tusikashifu dini ya mtu tunaweza kuelimishana kistaarabu tu.