Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

Wanaoshinda hayo mashindano ni wale tu wenye Masharifu.

Wako wapi wale watoto Masharifu wema ?
Wanao kihifadhi hicho kitabu chao kichwani bila kukisoma wala kufundishwa popote ?
Na kuzijua lugha zote za duniani bila kufundishwa darasani?
Kazi kwenu.

Wa kunielewa wamenielewa.
 
biblia ya sasa hata kurasa 3 hazikai kichwani. Quran hata mtoto wa miaka 6 anaweza kuihifadhi.
Ujazo na Ukamilifu wa Qur’ani:

  • Qur’ani inasisitiza kuwa ni kitabu kilichozungumzwa na Mwenyezi Mungu, na hakina makosa. Surah Al-Hijr (15:9) inasema: "Hakika Sisi ndio tulioweka dhikri, na hakika Sisi tutaitunza." Hii inaonyesha dhamira ya Mwenyezi Mungu ya kulinda Qur’ani na kuihifadhi kwa usahihi.
Nioneshe kwenye Quran binadamu wa kwanza ni nani? Na nitajie jina la mke wa binadamu wa kwanza ndani ya Quran.
 
Wanaoshinda hayo mashindano ni wale tu wenye Masharifu.

Wako wapi wale watoto Masharifu wema ?
Wanao kihifadhi hicho kitabu chao kichwani bila kukisoma wala kufundishwa popote ?
Na kuzijua lugha zote za duniani bila kufundishwa darasani?
Kazi kwenu.

Wa kunielewa wamenielewa.
Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?
 
biblia ya sasa hata kurasa 3 hazikai kichwani. Quran hata mtoto wa miaka 6 anaweza kuihifadhi.
Ujazo na Ukamilifu wa Qur’ani:

  • Qur’ani inasisitiza kuwa ni kitabu kilichozungumzwa na Mwenyezi Mungu, na hakina makosa. Surah Al-Hijr (15:9) inasema: "Hakika Sisi ndio tulioweka dhikri, na hakika Sisi tutaitunza." Hii inaonyesha dhamira ya Mwenyezi Mungu ya kulinda Qur’ani na kuihifadhi kwa usahihi.
Qurani ina makosa mengi sana, lakini huo ni mjadala mwingine ahusiki na mada hii.
 
Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?
Kwahiyo wewe Archimedence principal hujahifadhi kichwani? Utakuwa zezeta kabisa.

Nikikuuliza what is biology ukijibu ni branch of science Allah anafurahi sana heee!!
 
Kuhifadhi Qurani ni kazi mdogo sana.
Kitabu cha Zaburi pekee kina Aya nyingi kupita Qurani.
😂😂😂.kama rahisi niambie hyo ni sura gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20240831_233737_Holy Quran.jpg
    Screenshot_20240831_233737_Holy Quran.jpg
    596 KB · Views: 3
Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?
Hivi wale watoto Masharifu wanao kariri Qurani bila kufundishwa popote wanapata huo uwezo na nani ?
Na mbona wakiwa wakubwa wanaishia kuwa waganga wa kupiga ramli na kuroga ?

Mfano:
Shehe Sharifu Majini:

Au ndio kwa kusaidiwa na mnayoyaita Majini Mema ?
 
Yawezekana unahoja ya msingi ila hajayaweka vizuri maelezo yako wengine tupo bize tulikosa mda wa kuangalia hayo mashindano

Ilitakiwa ufanye Nini Ili upate hizo zawadi? Lakini pia kamari sio zawadi

Au katika wadhamini na wachezesha kamari walikuwepo?
Washindi wa kusoma Quran na zawadi zao hawahusiki na uzi huu.

Kuna kamari imechezeshwa na waandaji kupata washindi wavkuchukuwa hivyo vitu, shida yangu ndio iko hapo kidini.
 
Hivi wale watoto Masharifu wanao kariri Qurani bila kufundishwa popote wanapata huo uwezo na nani ?
Na mbona wakiwa wakubwa wanaishia kuwa waganga wa kupiga ramli na kuroga ?

Mfano:
Shehe Sharifu Majini:

Au ndio kwa kusaidiwa na mnayoyaita Majini Mema ?
Quran na uislam vipo mbele ya MUDA.isome quran utaelewa.
Quran ina siri nyingi na nzito.
Hauwezi kuiifadhi kam una mambo mengi ya dunia.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Quran na uislam vipo mbele ya MUDA.isome quran utaelewa.
Quran ina siri nyingi na nzito.
Hauwezi kuiifadhi kam una mambo mengi ya dunia.
Sasa mimi mambo ya Majini nitayaelewaje ?
Ushawahi kumwona Jini Mwema ?
Mwema ni Mungu peke yake, hao Majini wanawaongopea sana.
Hata wewe sio Mwema.
 
Kwa hiyo wewe ni muovu?Au hujui maana ya wema?Si ulidai Quran ni rahisi sana kuihifadhi?Au una double personality hata hujui unachoandika?
 
Back
Top Bottom