Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

Teleban wamepiga marufuku sauti ya mwanamke kusikia popote. Iwe ni kuimba, kusoma quran au vyo yote vile. Hata ukiwa kwako usisikike nje ya nyumba yako.. Sijui wangekuja uwanja wa Taifa hapo hata Bi Kizimkazi angepigwa mijeledi ya kutosha. Kwani alikuwa Uchi kwa mujibu wa sheria za Taleban.
 
Kamali imetokana na nini iwapo watu hawajachangishwa chochote kinachotokea ni kuwa drone inapiga picha swhemu soyote ya uwanja ikikumulika kwa muda hadi kufikia kupunga mkono unakua umebahatika zawadi.
 
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.

Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari ( maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa style ileile ya tatu mzuka na Biko, sasa swali langu hiki kinachofanywa na Bakwata ni sahihi kidini?

Karibuni, tusikashifu dini ya mtu tunaweza kuelimishana kistaarabu tu.
Kama uliyoyasema ni kweli basi hiyo ni kamari na sio sahihi, ila kwa bakwata tegemea lolote
 
Hivi mnaamini mimi sina akili timamu? Sizungumzii zawadi za washindi wa kusoma Quran, bali kuna kamari kama ya tatu mzuka inachezeshwa wapo watakaoshinda simu, pikipiki, bajaji na gari mbili.

Eleweni hivi nilivyotaja havihusiani na wanaoshinda kusoma Quran hao wana zawadi zao nje ya hizi zinazoshindaniwa kwa njia ya kamari.
Yawezekana unahoja ya msingi ila hajayaweka vizuri maelezo yako wengine tupo bize tulikosa mda wa kuangalia hayo mashindano

Ilitakiwa ufanye Nini Ili upate hizo zawadi? Lakini pia kamari sio zawadi

Au katika wadhamini na wachezesha kamari walikuwepo?
 
Usijali mkuu hayo n mambo ya kawaida kwa Waislamu, mana kuran inasema mpira wa miguu ni haramu ila huko kwenye nchi yenye Uislamu yao wana ligi na Ronaldo yupo anacheza pamoja na Madina na Macca kuwepo huko
Si ni Sawa na Papa kuruhusu ushoga tu, unahisi madina na Makkah hakuna watenda dhambi?
 
Na aliyeongea na Shekhe tena n maarufu huko mitandaoni ila simjui jina, kwahy mtajuana wnyw huko wenye Uislamu wenu.
Wewe ni mzushi.Shekhe maarufu humjui jina lakini unajua aliloharamisha?Unataka tuamini ujinga na uzushi wako?
 
Back
Top Bottom