Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #81
Soma hapa kwa lugha ya Allah.Hyo hapo.lete point yako
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma hapa kwa lugha ya Allah.Hyo hapo.lete point yako
Surat Mariam 19:71 bila kuchakachuwa inasema waislamu wote wanakwenda motoni.Soma hapa kwa lugha ya Allah.
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا
Mwema ni Mungu peke yake.Kwa hiyo wewe ni muovu?Au hujui maana ya wema?Si ulidai Quran ni rahisi sana kuihifadhi?Au una double personality hata hujui unachoandika?
Yaani ni lazima wafike Jehanamu halafu ndio waokolewe kutokea huko.Surat Mariam 19:71 bila kuchakachuwa inasema waislamu wote wanakwenda motoni.
Kwahiyo tunakubaliana waislamu wote wanakwenda motoni.Yaani ni lazima wafike Jehanamu halafu ndio waokolewe kutokea huko.
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia Jehannamu, Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
ثُمَّ نُنَجِّي الَّذِينَ اتَّقَوا وَّنَذَرُ الظَّالِمِينَ فِيهَا جِثِيًّا
(MARYAM - 72)
Kisha tutawaokoa wale walio mcha Mungu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti.
......
Aliye waahidi hivyo alianza kuapa kwa Mola wake kwanza.
.........
فَوَرَبِّكَ لَنَحْشُرَنَّهُمْ وَالشَّيَاطِينَ ثُمَّ لَنُحْضِرَنَّهُمْ حَوْلَ جَهَنَّمَ جِثِيًّا
(MARYAM - 68)
Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka Jahannamu, nao wamepiga magoti!
......
Huwa simwelewagi kabisa anaye sema anakielewaga hicho kitabu.
Hata haijulikana nani anaapa kwa nani.
Ndiyo elimu ya ma Dr. Wetu Hiyo. Wachukulie tuArchimedence ni kitabu?🐸
Funua ile aya inayohusu nguruwe kila kilicho haramu utakikuta hapo.Duuuh...
Wewe mwanachama mwandamizi wa JF unakuwa kama mtoto wa "kindergaten" ?!! [emoji1787][emoji1787]
Kama si maneno ya kusikia kikasuku ,hebu tuwekee hiyo aya inayosema MPIRA ni haramu.....
NJOO TUULIZANE NA MIMI. JE WEWE UMEOLEWA? UKIWA NA MIAKA MINGAPI? UNA MTOTO WA KIKE? NIKIJA KUTAKA MWOA AKIWA NA MIAKA 9 UTANIOZESHA? UNA MDOGO WAKO WA MIAKA 9?NAWEZA MWOA? JE YULE MTOTO WA KIUME AMBAYE HAKUNYONYA MAZIWA YA MAMAYE AKAWA ANANYONYA ULIMI WA MUDY AFYA YAKE ILIKUAJE MWISHONI?NDIYE MATOLA BIN PHD ZA KANISA HIZO umchukulie tu
Mimi kuna maswali nilimuuliza kuhusu biblia kanikimbia
Hakukuwa na sababu ya kunitukana mkuuHuna akili, siongelei zawadi za washindi wa kuhifadhi Quran.
Unamaanisha hizo kamari zinachezwa hapo hapo laivu mbele ya Masheikh au kwa namna gani yaani?Hivi mnaamini mimi sina akili timamu? Sizungumzii zawadi za washindi wa kusoma Quran, bali kuna kamari kama ya tatu mzuka inachezeshwa wapo watakaoshinda simu, pikipiki, bajaji na gari mbili.
Eleweni hivi nilivyotaja havihusiani na wanaoshinda kusoma Quran hao wana zawadi zao nje ya hizi zinazoshindaniwa kwa njia ya kamari.
Wanaodhamini hayo mashindano ni wazito wazito kama wakina Mo dewji,Azam,Marais wastaafu sio kutoka kwa watu wanyongeNilikua nasubir comment watu hawaelewi hayo mashindano yamekua sehemu ya kuchota pesa za wadhamini hata uislamu kuna akina mwamposa japo wao sio watu wamiujiza
Sijajibiwa mpaka leo mkuu.Swali jepesi lakini majibu lukuki...
Hili ndo tatizo la watu wasiofikiria, mleta mada aliweka wazi hakuna kukashifu dini ya mtu! Kwanini binadam unabehave kama mnyama?Usijali mkuu hayo n mambo ya kawaida kwa Waislamu, mana kuran inasema mpira wa miguu ni haramu ila huko kwenye nchi yenye Uislamu yao wana ligi na Ronaldo yupo anacheza pamoja na Madina na Macca kuwepo huko
Huwezi kupima dini kwa matendo ya mtu mwingine, Uislam ni dini ya Mwenyezi Mungu sheria haziwekwi na watu. Anaweza kuwa shekhe, wanaweza kuwa Bakwata lakini haimaanishi wanachokifanya ndio sahihi. Pope Francis ameruhusu kanisa katoliki kutoa baraka kwa ndoa za jinsia moja! So, tuseme ukristo unaruhusu pia???Sijajibiwa mpaka leo mkuu.
Ulianza vizuri unakuja kuharibu, mjadala wako haukutakiwa kuongelea vitu usivyovijuwa kuhusu dini za watu.Surat Mariam 19:71 bila kuchakachuwa inasema waislamu wote wanakwenda motoni.
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.
Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa style ileile ya tatu mzuka na Biko, sasa swali langu hiki kinachofanywa na Bakwata ni sahihi kidini?
Karibuni, tusikashifu dini ya mtu tunaweza kuelimishana kistaarabu tu.