Muulize Shekhe wakoDuuuh...
Wewe mwanachama mwandamizi wa JF unakuwa kama mtoto wa "kindergaten" ?!! [emoji1787][emoji1787]
Kama si maneno ya kusikia kikasuku ,hebu tuwekee hiyo aya inayosema MPIRA ni haramu.....
Ameuliza kamari ni nn? Ndy nikamfahamishaUmemuelewa alichokiuliza?Nadhani kajibu kwenye #13
Saudi Arabia ni nchi sio dini mkuuUsijali mkuu hayo n mambo ya kawaida kwa Waislamu, mana kuran inasema mpira wa miguu ni haramu ila huko kwenye nchi yenye Uislamu yao wana ligi na Ronaldo yupo anacheza pamoja na Madina na Macca kuwepo huko
Kama uliyoyasema ni kweli basi hiyo ni kamari na sio sahihi, ila kwa bakwata tegemea loloteNiko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.
Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari ( maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa style ileile ya tatu mzuka na Biko, sasa swali langu hiki kinachofanywa na Bakwata ni sahihi kidini?
Karibuni, tusikashifu dini ya mtu tunaweza kuelimishana kistaarabu tu.
Yawezekana unahoja ya msingi ila hajayaweka vizuri maelezo yako wengine tupo bize tulikosa mda wa kuangalia hayo mashindanoHivi mnaamini mimi sina akili timamu? Sizungumzii zawadi za washindi wa kusoma Quran, bali kuna kamari kama ya tatu mzuka inachezeshwa wapo watakaoshinda simu, pikipiki, bajaji na gari mbili.
Eleweni hivi nilivyotaja havihusiani na wanaoshinda kusoma Quran hao wana zawadi zao nje ya hizi zinazoshindaniwa kwa njia ya kamari.
Si ni Sawa na Papa kuruhusu ushoga tu, unahisi madina na Makkah hakuna watenda dhambi?Usijali mkuu hayo n mambo ya kawaida kwa Waislamu, mana kuran inasema mpira wa miguu ni haramu ila huko kwenye nchi yenye Uislamu yao wana ligi na Ronaldo yupo anacheza pamoja na Madina na Macca kuwepo huko
N sawa tuuSi ni Sawa na Papa kuruhusu ushoga tu, unahisi madina na Makkah hakuna watenda dhambi?
Ndio n nchi ila inafuata sheria ya diniSaudi Arabia ni nchi sio dini mkuu
Na aliyeongea na Shekhe tena n maarufu huko mitandaoni ila simjui jina, kwahy mtajuana wnyw huko wenye Uislamu wenu.
Ndiyo,Sasa ndio had watu wa Macca na Madina kwenye Uislam yao?
Kama anahubiri msikitini huyo n ShekheShekhe kwani ni Nani kwenye uislamu? Mbona hata Karume , Thabit Kombo wote wakiitwa masheikh
Cheo hicho unakitoa wewe au umekipata wapi?Kama anahubiri msikitini huyo n Shekhe
Nmempa mmCheo hicho unakitoa wewe au umekipata wapi?
Ikiwa Sheikh ni cheo kinatolewa na wewe ungalituambia basi wapi kwenye quran imeandikwa kutoruhusiwa kwa footballNmempa mm
Soma kuran mwanzo mpaka mwishoIkiwa Sheikh ni cheo kinatolewa na wewe ungalituambia basi wapi kwenye quran imeandikwa kutoruhusiwa kwa football
Anza wewe uliyotuletea uzushiSoma kuran mwanzo mpaka mwisho
Wewe ni mzushi.Shekhe maarufu humjui jina lakini unajua aliloharamisha?Unataka tuamini ujinga na uzushi wako?Na aliyeongea na Shekhe tena n maarufu huko mitandaoni ila simjui jina, kwahy mtajuana wnyw huko wenye Uislamu wenu.