Wewe ni mzushi.Shekhe maarufu humjui jina lakini unajua aliloharamisha?Unataka tuamini ujinga na uzushi wako?
Kwamba leo ndo mara yenu ya kwanza kusikia mpira n haramu kwenu nyie Waislamu?Anza wewe uliyotuletea uzushi
Nioneshe kwenye Quran binadamu wa kwanza ni nani? Na nitajie jina la mke wa binadamu wa kwanza ndani ya Quran.biblia ya sasa hata kurasa 3 hazikai kichwani. Quran hata mtoto wa miaka 6 anaweza kuihifadhi.
Ujazo na Ukamilifu wa Qur’ani:
- Qur’ani inasisitiza kuwa ni kitabu kilichozungumzwa na Mwenyezi Mungu, na hakina makosa. Surah Al-Hijr (15:9) inasema: "Hakika Sisi ndio tulioweka dhikri, na hakika Sisi tutaitunza." Hii inaonyesha dhamira ya Mwenyezi Mungu ya kulinda Qur’ani na kuihifadhi kwa usahihi.
Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?Wanaoshinda hayo mashindano ni wale tu wenye Masharifu.
Wako wapi wale watoto Masharifu wema ?
Wanao kihifadhi hicho kitabu chao kichwani bila kukisoma wala kufundishwa popote ?
Na kuzijua lugha zote za duniani bila kufundishwa darasani?
Kazi kwenu.
Wa kunielewa wamenielewa.
Qurani ina makosa mengi sana, lakini huo ni mjadala mwingine ahusiki na mada hii.biblia ya sasa hata kurasa 3 hazikai kichwani. Quran hata mtoto wa miaka 6 anaweza kuihifadhi.
Ujazo na Ukamilifu wa Qur’ani:
- Qur’ani inasisitiza kuwa ni kitabu kilichozungumzwa na Mwenyezi Mungu, na hakina makosa. Surah Al-Hijr (15:9) inasema: "Hakika Sisi ndio tulioweka dhikri, na hakika Sisi tutaitunza." Hii inaonyesha dhamira ya Mwenyezi Mungu ya kulinda Qur’ani na kuihifadhi kwa usahihi.
Kwahiyo wewe Archimedence principal hujahifadhi kichwani? Utakuwa zezeta kabisa.Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?
Kuhifadhi Qurani ni kazi mdogo sana.Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?
😂😂😂.kama rahisi niambie hyo ni sura gani?Kuhifadhi Qurani ni kazi mdogo sana.
Kitabu cha Zaburi pekee kina Aya nyingi kupita Qurani.
Hivi wale watoto Masharifu wanao kariri Qurani bila kufundishwa popote wanapata huo uwezo na nani ?Ndo ujue uislam ndo DINI YA KWELI.kuna kitabu gani mtu anaweza kukiifadhi chote moyoni?
Archimedence ni kitabu?🐸Kwahiyo wewe Archimedence principal hujahifadhi kichwani? Utakuwa zezeta kabisa.
Nikikuuliza what is biology ukijibu ni branch of science Allah anafurahi sana heee!!
Washindi wa kusoma Quran na zawadi zao hawahusiki na uzi huu.Yawezekana unahoja ya msingi ila hajayaweka vizuri maelezo yako wengine tupo bize tulikosa mda wa kuangalia hayo mashindano
Ilitakiwa ufanye Nini Ili upate hizo zawadi? Lakini pia kamari sio zawadi
Au katika wadhamini na wachezesha kamari walikuwepo?
Quran na uislam vipo mbele ya MUDA.isome quran utaelewa.Hivi wale watoto Masharifu wanao kariri Qurani bila kufundishwa popote wanapata huo uwezo na nani ?
Na mbona wakiwa wakubwa wanaishia kuwa waganga wa kupiga ramli na kuroga ?
Mfano:
Shehe Sharifu Majini:
Au ndio kwa kusaidiwa na mnayoyaita Majini Mema ?
Huna akili, siongelei zawadi za washindi wa kuhifadhi Quran.Yale ni mashindano sio kamari kubashiri ndo kamari
Nisomee Surat Mariam 19:71.Quran na uislam vipo mbele ya MUDA.isome quran utaelewa.
Quran ina siri nyingi na nzito.
Hauwezi kuiifadhi kam una mambo mengi ya dunia.
Sasa mimi mambo ya Majini nitayaelewaje ?Quran na uislam vipo mbele ya MUDA.isome quran utaelewa.
Quran ina siri nyingi na nzito.
Hauwezi kuiifadhi kam una mambo mengi ya dunia.
Kwa hiyo wewe ni muovu?Au hujui maana ya wema?Si ulidai Quran ni rahisi sana kuihifadhi?Au una double personality hata hujui unachoandika?Sasa mimi mambo ya Majini nitayaelewaje ?
Ushawahi kumwona Jini Mwema ?
Mwema ni Mungu peke yake, hao Majini wanawaongopea sana.
Hata wewe sio Mwema.
Kwani quran amepewa nani?Sasa mimi mambo ya Majini nitayaelewaje ?
Ushawahi kumwona Jini Mwema ?
Mwema ni Mungu peke yake, hao Majini wanawaongopea sana.
Hata wewe sio Mwema.
Hyo hapo.lete point yakoNisomee Surat Mariam 19:71.